Royal Kibadamo mkabala na Stand kuu ya mabasi ya mikoani 0754384853Ndugu wapendwa habarin za mchana. Naelekea Dar wenyej tafadhar naomba mnielekeze hotel ntakayoweza fikia kwa hiz siku chache. Chumba kisizid 45. Asanten
Ndugu wapendwa habarin za mchana. Naelekea Dar wenyej tafadhar naomba mnielekeze hotel ntakayoweza fikia kwa hiz siku chache. Chumba kisizid 45. Asanten
35 na 40 Fanya booking mapema ikifika saa sita mchana huwez pata vya hiyoo bei ....MIC hotel along side Ubungo bas terminal chumba n tsh 35 na 40 mlango unafungua na kadi