Mkubwa lugha ya Malkia siiwezi, ila kama nimekuelewa vizuri unasema nimempaisha sana lara 1 kumfananisha na timu za hizo nchi kwenye kombe la dunia. Lakini kumbuka kwamba kila mtu anamtazamo wake kwenye kila jambo na huwezijua kwa upande wangu ni kwa nini nimesema hivyo, wakati huo huo sikatai wewe kuendelea na msimamo wako kwa sababu na wewe una sababu au vigezo vyako.at world cup level!!!.. lara 1 is neither of the three....thats overhyped....
may be atmost....Bosnia and Herzegovina....and the rest of her disciples` calibre are just ZAIRE(1974),Malta,San Marino and the likes....
Hahaaaaaaa Lara ur sooo funny yaani hapa nasoma comments zako na Tyta nacheka saaana LOL, huo ubuyu weka kwenye files zako kwa matumizi ya baadae.
Wanaaoona its boring sijawaelewa.. the conv is good kama unafatilia mazungumzo mwanzo mwisho.
Hahahaaaaaaa! Huuuuuuuuuuuu! GOD! IT FEELS GOOD TO HAVE YOU BACK!
Mmmmmmmmmmmmh! SO YOU AINT DENYING ANYTHING YET? Well that is a good sign that MAYBE and b maybe i mean MAYBE you are finally falling in love! Aaaaaaaaaawwww! That is so sweet of you.
Dude i love to see you in love but Heaven on Earth is so much OUTA OF YA LEAGUE! Come on! Im just concerned about you! Dont wanna se your heart SQUASHED! We are talking of Vin D here! He no be regular guy, una do POLITCS naaaaaaw! And the girl is madly in love with him.
If you insist to go for HOE no matter the cost YOU HAVE MY FULL SUPPORT! But i can advice you take some common girl here, she will be good for your health naaaaw! BUT I KNOW YOU BETTER! you enjoy hunting your own mills! But if you go against Vin D, my loyality lays with Vin D. (Sorry pal, his FUTURE IS BRIGHTER THAN HIS SKIN):A S 13:
You squirt girl?
Oooooh!!! You must be hot in there......
You must be sexy to have you on bed.....
You must be romantic on your own.........
Hahaha nimeamua kuchokoza tu.
.....now I see you are running out of gasoline...like guerrilla fighter...you ambush/counter attack and retreat to the bush...
my point is...you tryn to diverge from main agenda...for self motives and intention....falsifying to the public with such allegations...
addressing the issue you popped : ...no criminality committed even if ''the crush thing'' existed....now you wanna bring V.D to scare the ---- out of me????!!!!....HECK NO.......!!!!
Hahaha eti kumekucha , kwahiyo wengine post zao hujaziona siyo?Kumekucha jamani! Sabato
ishaingia maana jua ndo lilishazama
Hahaha eti kumekucha , kwahiyo wengine post zao hujaziona siyo?
Sabato gani unazungumzia?
Ndo kwanza imeisha ujue......
Hahaha kwaheri.........Yako inasisimua atiiiiiiiiiiiiiii! Sabato yetu WARUMI inaanza leo mpaka kesho jua likizama.
TOO SHY TO ADMIT AND TOO ASHAMED TO DENY IT PUBLICLY! Aaaaaaaaaaawwwwwwwww! So far so good for me! :behindsofa:
........mindset change is a huge win....bank account.freeze hell!!!Hahahaaaaaaaaaaa! LIKE MY BANK ACCOUNT WILL CHANGE WITH YOUR OPINION!😕
Mkubwa lugha ya Malkia siiwezi, ila kama nimekuelewa vizuri unasema nimempaisha sana lara 1 kumfananisha na timu za hizo nchi kwenye kombe la dunia. Lakini kumbuka kwamba kila mtu anamtazamo wake kwenye kila jambo na huwezijua kwa upande wangu ni kwa nini nimesema hivyo, wakati huo huo sikatai wewe kuendelea na msimamo wako kwa sababu na wewe una sababu au vigezo vyako.
Mimi nilipokua nafuatilia mtanange huu, kwa kweli nimekua nikicheka sana kila nnaposoma comment zake, sasa kama ameweza kunifanya nikacheka na kufurahi, what else do I need from her? ukizingatia tunafahamiana kwa maandishi tu?
...no facts no right to utter...nipo bongo naungua jua...nagombea daladala.....and all sorts of misoto like the rest of the population encounter....my life is not in the fastlane like yours....Usiniambie E HAD YOU FOOLED! Ushawahi kumuona nakosea spelling, syntax au grammar hata mara moja.? I bet yupo UK. Tena anasoma chuo cha maana! Maybe just my speculations.
STILL NOT DENYING SHIT PUBLICLY! Aaaaaaaaaaaaaaaaaaaw! Its getting better and better! :evil::evil::evil::evil::evil::evil::evil:
ITS A FREE COUNTRY! Mmeambiwa changieni toka Jana hamtaki kuchangia na hamtaki Lara 1 achangie. ALIE BOREKA ANYE BOGA
Mwendesha kipindi wa kujitolea, enheumewahi kukutana na mwanaume akaomba 0713?
kama ni ndio ulifanyaje?