1. Waridi
2. Asali
3. Pancake
Nimeipenda hiyo Malaika!.Hiyo bolded mmh!
1. Pesambili
2. Safari
3. Pombe
4. Mshahara
5. Malaika
Nimeipenda hiyo Malaika!.
Mimi malaika tu bana....halafu siku hizi umeadimika kama makalio ya nyoka, kulikoni?.Je, vipi kuhusu;
1. Halisi
2. Balozi
3. Maua
4. Sikukuu
5. Madaha
Mimi malaika tu bana....halafu siku hizi umeadimika kama makalio ya nyoka, kulikoni?.