benmbusule
Member
- Apr 28, 2021
- 6
- 4
Naomba kufahamu process za kuhamisha Hosting kutoka company moja kwenda jingine !!!
Naomba kufahamu process za kuhamisha Hosting kutoka company moja kwenda jingine !!!
Unahama hosting ama domain?
Kama unahama hosting kuna njia nyingiOnly hosting mkuu
Hawezi fanya hivyo mpaka domain ibadilishwe nameserver,kinachotakiwa mwombe hoster aliyekuhost sasa adelete domain kwenye nameserver kwanza ,then wasiliana na anayekuhost kwa sasa aiongeze hiyo domain kwenye panel ya nameserver from there unaweza fuata process za huyo mdau ,ukihitaji service zetu tucheki 0687 535650Kama unahama hosting kuna njia nyingi
1. Tumia ftp kuhamisha mafile sema inaweza kuchukua muda, zipo software za kurahisisha kama filezilla
2. Unaweza kutumia cpanel backup kama hosting zote mbili zina cpanel, fungua cpanel Nenda backup Kisha backup site nzima Kisha Nenda cpanel ya pili upload huko.
3. Manual download mwenyewe website yako na ku paste kwenye hosting mpya, ingia panel yako ya website tafuta file manager Kisha ingia public html ama whatever ulipoeka mafile yako, chagua yote Kisha right click Kisha compress, halafu download, then upload hosting mpya Kisha extract pale pale ulipodownloadia.
Ndugu embu tusaidie kutupa sababu za kutaka kubadilisha hostingNaomba kufahamu process za kuhamisha Hosting kutoka company moja kwenda jingine !!!