Crocozilla
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 469
- 335
Nyumba za watu kuishi ramani yake haiwezi kufanana na HOSTELKwanza kabisa nitangulie kusema uzi huu si wa kupingana wala kui-challenge serikali yangu bali kuibua mjadala ambao utatusaidia kusimamia vema rasilimali za taifa. Sasa naomba kuanzia hapa;
Hostel za UDSM
Naambiwa yapo majengo 20 kila jengo lina ghorofa 4 na gharama yake ni 10bn
Ukichukua majengo 20 X kwa ghorofa 4 utapata ghorofa 80 (floors) ambazo zimetumia 10bn.
Maghorofa ya Magomeni;
Naambiwa yapo majengo 5 kila jengo lina ghorofa 8 hadi 9 na gharama yake ni 20bn. Tufanye wastani wa ghorofa 9 kwa zote.
Ukichukua majengo 5 X kwa ghorofa 9 utapata ghorofa 45 (floors) ambazo zimetumia 20bn
Sasa pale Magomeni kuna shida. Yafaa kuunda tume kuokoa pesa ya taifa maana Jografia ya Dar ni ile ile iweje wametumia pesa nyingi vile?
Naomba changia kwa weledi, usimtukane mtu, usimtukane Kiongozi yeyote maana ni kosa kisheria. Weka point tujifunze usiweke tusi!
Magomen ni nyumba za kuishi. Udsm ni hostels.Yawezekana ya UDSM yapo chini ya kiwango!!! Magomeni yakawa yametumia gharama stahiki
Wataalamu wa ujenzi ndio wanaweza jibu hiliKwanza kabisa nitangulie kusema uzi huu si wa kupingana wala kui-challenge serikali yangu bali kuibua mjadala ambao utatusaidia kusimamia vema rasilimali za taifa. Sasa naomba kuanzia hapa;
Hostel za UDSM
Naambiwa yapo majengo 20 kila jengo lina ghorofa 4 na gharama yake ni 10bn
Ukichukua majengo 20 X kwa ghorofa 4 utapata ghorofa 80 (floors) ambazo zimetumia 10bn.
Maghorofa ya Magomeni;
Naambiwa yapo majengo 5 kila jengo lina ghorofa 8 hadi 9 na gharama yake ni 20bn. Tufanye wastani wa ghorofa 9 kwa zote.
Ukichukua majengo 5 X kwa ghorofa 9 utapata ghorofa 45 (floors) ambazo zimetumia 20bn
Sasa pale Magomeni kuna shida. Yafaa kuunda tume kuokoa pesa ya taifa maana Jografia ya Dar ni ile ile iweje wametumia pesa nyingi vile?
Naomba changia kwa weledi, usimtukane mtu, usimtukane Kiongozi yeyote maana ni kosa kisheria. Weka point tujifunze usiweke tusi!
Acheni kuhamisha magoli mimi nilipata kazi flan pale HOSTEL pale ...imetumika zaidi ya 10Bl na wanamadeni kwa Supplier wenyewe wanakili walifanya Siasa ili wapewe majengo mengi na wameahidi watakuwa wanaongeza ..Bajeti ili kufidia majanga ya HostelNyumba za watu kuishi ramani yake haiwezi kufanana na HOSTEL
Hakuna Furniture zilizolipiwa na Chuo kila kitu wanafanya TBA watakabidhiwa Chuo Hostel zilizokamilika na wanafunzi kuingia tuNyumba ya kuishi inamakolokoli mengi. Hostel ni nyumba tu. Afu pale chuo vitu vingine vimelipwa na Chuo..furnitures ni za chuo. Pale magomeni vyote vitalipwa naserikali. Nyumba ya kuishi inahitaji vitu vingi mno..hata vyumba vyake sio bwalo kama za histel
Achana na Tetemeko....hizi hizi Mvua za Masika ziliporomosha Ukuta....kwenye Sehemu zakupita pembeni ya majengo zilititia ikabidi wafumue upya....nivile zile Site hawaruhusiwi waandishi wa Habari Ila kule ni majanga.....watu wanamshambulia Jamaa kwa vile wameona Majengo yamesimama tuHostel za UDSM hata kipimo kidogo cha EARTHQUEAKS yanaanguka.. watu wamejenga kwa hofu moyoni..