KERO HOSTEL ZA CHUO CHA DIT

KERO HOSTEL ZA CHUO CHA DIT

  • Thread starter Thread starter Anonymous (54df)
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kuna kitu kimoja katika Chuo Cha DIT sikielewi. DIT Kuna Hostels ambazo wanaopangiwa ni government sponsored na First year nadhani.

Sasa unaukuta Kuna hostels zimebaki ambazo wanatakiwa wapangiwe wanafunzi wanaoendelea,.

Sasa kwenye kuzipata hizi hostels inatakiwa ulipie Laki tatu kwa Viongozi ili tu upewe control number, sijajua kama uongozi wa chuo unaufahamu kuhusu Hili.

Hyo laki tatu ni kama Rushwa wanachukua Viongozi wa selikari ya wanafunzi.
 
Na Rais wa Vyuo vikuu vyote nchini anatoka hapo.
Badala ashughurikie masuala ya hapo alipo, yeye kutwa kufanya uchawa wa Mboga mboga.
Lol
 
Halafu mnategemea viongozi wasiwe wala rushwa, wakati rushwa zinaanza mapeeema
 
Kuna kitu kimoja katika Chuo Cha DIT sikielewi. DIT Kuna Hostels ambazo wanaopangiwa ni government sponsored na First year nadhani.

Sasa unaukuta Kuna hostels zimebaki ambazo wanatakiwa wapangiwe wanafunzi wanaoendelea,.

Sasa kwenye kuzipata hizi hostels inatakiwa ulipie Laki tatu kwa Viongozi ili tu upewe control number, sijajua kama uongozi wa chuo unaufahamu kuhusu Hili.

Hyo laki tatu ni kama Rushwa wanachukua Viongozi wa selikari ya wanafunzi.
Kapange mkuu
 
Back
Top Bottom