Hostel Saut

Hostel Saut

Sio lazima Chaliangu,Ila za ndani ni laki3 kwa mwaka ila huruhusiwi kupika wala kumiliki jiko ma'domitory,,Hostel za nje ndo yente japo bei ni juu Bablai
 
Naomba kuulza kukaa hostel za ndan Saut ni Lazima au??
Kama ukiwahi kwenye usajili lazima upangiwe room hostel ya ndani...cha kufanya chelewa kama wiki mbili hivi ili ukute hostel zimejaa.
Ila use na uhakika wa kuwa na hostel ya nje.maana nazo ni shida kupata nafasi
 
watoto nendeni mkasome acheni ubishoo chuo sio secondary utarud nyumbani baada ya mwaka mmoja shauri yenu.
 
hostel za ndani sio lazima.na pia haulazimishwi kulipia hostel za ndani...ila hostel za nje zina gharama.karibu kwa masha area
 
Back
Top Bottom