Hostel Magomeni Kagera DSM 50000 kwa mwezi tu.

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
535
250
Habari
Kuna hostel Magomeni Kagera, Friends corner Dar es salaam Morogoro road kituo cha mwendo kasi kagera kwa gharama ya sh 50000 kwa mwezi, tunapokea kuanzia pesa ya miezi 6 na mwaka tu.
Hostel ina vyumba jumla ya 26 kuna mgahawa ndani yake ,parking na sehemu ya kujisomea pia kuna television kwa ajili ya wanafunzi wote.
kila chumba kina choo chake.
kwa mawasiliano zaidi 0712 212 220 Mr Daud
 

Attachments

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom