Hostel kujaa saut | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hostel kujaa saut

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Toxty, Sep 19, 2012.

 1. T

  Toxty Member

  #1
  Sep 19, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 11
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Kwa wale tuliochaguliwa SAUT ila hatujafika kufanya registration kwa kusubiri mkopo taarifa zilizopo ni kwamba hostel za chuoni zime full kwa sana so kilichopo nikutafuta hostel off campus kwa mfano pale Nyamalango. Ila kwa upande wangu nishaafanya booking ya room hapo Nyamalango so kama kuna Great Thinher aliyechaguliwa SAUT na bado haja report chuoni usihangaike mtafute mmiliki wa hostel kwa namba 0713777807/0754998927 kwa unafuu wakufika Mwanza bila kupata shida koz najua wengine wageni Mwanza kama mimi ila nina nafuu kimtindo koz nishaapata rum la kustay
   
Loading...