Hostel/ Hospitali inapangishwa Tegeta

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,762
Reaction score
6,591
Jengo la ghorofa mbili linapangishwa. Jengo ni kubwa na la kisasa, lipo Tegeta Nyuki hatua chache kutoka kwenye kituo cha Daladala Tegeta Nyuki.
Jengo hili lina huduma ya maji safi ya dawasco, pia kuna matanki ya akiba ya lita zaidi ya 45,000/-
JIKO LINA NAFASI YA GESI, SEHEMU YA UMEME NA KUNA SEHEMU YA MKAA.


MUONEKANO WA MBELE


FILTER ZA KUCHUJIA NA KUTAKASISHA MAJI (PURIFYING FILTERS)


CANTEEN


Kwa mawasiliano zaidi piga 0717454455
 
Nimeona sehemu jengo Hili likiwa na maelezo haya

3 STOREY BUILDING SUITABLE FOR
HOSTEL OR OFFICE USE TO RENT
AT TEGETA KANOSA, 500 METRES
FROM KIBO COMPLEX NEAR
KANOSA SCHOOL. IF FOR HOSTEL
USE IT CAN ACCOMMODATE 350
STUDENTS AND IF NEEDED FOR
OFFICE IT HAS 1500 SQM
 
Bado hujachelewa....
Jengo hili pia lafaa kwa ofisi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…