caiden mills
Member
- Jul 13, 2019
- 49
- 19
Sorry kwa mwenye Uelewa na hostel za dar es salaam zinakuwa na bei gani.... Ambazo Zina facilities zote Sababu vyuo tulivochaguliwa havina hostels.. Regards Merci beacoup
Sawa....Hostep huwa inakuwa karibu na vyup mkuu japo unatakiwa kuwahi.... Sio lazima ukae hostel za chuo kwanza za nje ndio nzuri but kama Unataka kujifunza maisha na kuenjoy challenge kadhaa tafuta mtu mshikane mkono mpange wote aiseh wengi wanaishi wawili chuo namalizia wanafanikiwa kujiwekea vzuri tu
Sorry kwa mwenye Uelewa na hostel za dar es salaam zinakuwa na bei gani.... Ambazo Zina facilities zote Sababu vyuo tulivochaguliwa havina hostels.. Regards Merci beacoup
No me nmepangwa chuo flan kipo temeke,kurasin afu akina hostelKwani tayari umepangiwa na hostel? Mfano kama una soma udsm Duce je unajuaje kama umepangiwa hostel?
Hicho chuo hakina jina hadi useme "chuo flani kipo temeke,kurasini"??No me nmepangwa chuo flan kipo temeke,kurasin afu akina hostel
Taja jina la chuo hili usaidiwe sasa sisi tutakushauri nn wakati unaficha jina la chuoNo me nmepangwa chuo flan kipo temeke,kurasin afu akina hostel
Hahaha anasomea food managementAtakua zion collenge ana ogopa kusema![]()
Center for foreign relationsHicho chuo hakina jina hadi useme "chuo flani kipo temeke,kurasini"??