Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,610 Reaction score 287,319 Feb 7, 2024 #1 Chama cha soka cha Misri kimemteua mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kuwa kocha mpya wa timu hiyo Hii ni katika kujipanga upya baada ya kuboronga kwenye michuano ya Afcon
Chama cha soka cha Misri kimemteua mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kuwa kocha mpya wa timu hiyo Hii ni katika kujipanga upya baada ya kuboronga kwenye michuano ya Afcon
Said Stuard Shily JF-Expert Member Joined Jul 18, 2017 Posts 2,464 Reaction score 2,205 Feb 7, 2024 #2 Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa
valet de chambre JF-Expert Member Joined Mar 12, 2017 Posts 1,258 Reaction score 1,437 Feb 7, 2024 #3 Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... Sasa hivi timu nyingi za taifa Africa zinarudi kufundishwa na Wazawa. Ni jambo zuri. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... Sasa hivi timu nyingi za taifa Africa zinarudi kufundishwa na Wazawa. Ni jambo zuri. Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mzingo JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 4,766 Reaction score 10,623 Feb 7, 2024 #4 Semi final AFCON 2023 1)South Africa. Sio mzawa 2)Nigeria. Sio mzawa 3)Ivory coast. Mzawa 4)DR Congo. Sio mzawa Hii takwimu Watu wanayo ila wametulia tulii. Wanasubiri msimu fulani wazawa wakijaa semi
Semi final AFCON 2023 1)South Africa. Sio mzawa 2)Nigeria. Sio mzawa 3)Ivory coast. Mzawa 4)DR Congo. Sio mzawa Hii takwimu Watu wanayo ila wametulia tulii. Wanasubiri msimu fulani wazawa wakijaa semi
makaveli10 JF-Expert Member Joined Mar 27, 2013 Posts 37,631 Reaction score 109,037 Feb 7, 2024 #5 , Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... Sir ferguson, Johan cruyff,
, Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... Sir ferguson, Johan cruyff,
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,610 Reaction score 287,319 Feb 8, 2024 Thread starter #6 Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... ππππ
Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... ππππ
Fund man JF-Expert Member Joined Feb 24, 2021 Posts 4,223 Reaction score 5,721 Feb 8, 2024 #7 Jambo jema
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,610 Reaction score 287,319 Dec 26, 2025 Thread starter #8 Egypt 2-0 South Africa
Erythrocyte JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 142,610 Reaction score 287,319 Dec 26, 2025 Thread starter #9 Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... Nakusalimia tena
Said Stuard Shily said: Hakuna mtu aliyecheza nafasi ya ushambuliaji akawa kocha bora kifupi tu Misri wamepigwa Click to expand... Nakusalimia tena