Candela
JF-Expert Member
- Aug 12, 2021
- 857
- 2,289
Wakuu mi huwa sielewi kitu hizi hospital zetu. Mgonjwa anapokufa wanadai ulipe bili ndio wakupe mwili.
Kwa nini niwalipe wakati wamefeli kutoa huduma na mteja amekufa.
Mfano ukienda gereji na gari lako, fundi akalitengeneza lakini likashindikana kuwaka unachukua gari lako free.
Njia sahihi ilitakiwa hospitali irudishe gharama alizotumia mgonjwa pale wanaposhindwa kumtibu.
Tushirikiane kupinga huu uhuni.