Maana kuambiwa tuu kuwa unanyemelewa na kisukari hapo hata mapigo yako ya moyo nafikiri yalibadilika
So mkuu nakushauri tembelea maabara au hospital nyingine ili ulinganishe majibu yao na yale ya mwanzo na ikiwa majibu yatatoka kama hayo ya Burhani ujue kabisa kuwa mashine ya Mikocheni itakuwa na matatizo
we usipime, hakuna siku nilikuwa karibu na MUNGU wangu kama ile siku, nikiomba through out the day and night. nafikiri ningekuwa naomba hivyo siku zote basi maisha yangu yangekuwa mazuri sana.
Nadhani tatizo hapo ni kukagua vifaa...Ukiangalia guidelines za Good Laboratory Practise zinashauri kila siku kucalibrate upya machine za biochemistry na kuzitest ukitumia standard control...haya hayafanyiki kwenye lab nyingi tu. Na matokeo yake ndio hayo. Angekuwa mtu hasiye mdadisi angeshaanza uguza kisukari wakati hana!
Pole sana kaka....kwangu mimi kisukari ni zaidi ya UKIMWI. Yaani hapo ni sawa na mtu kakuambia kipimo cha UKIMWI kimeonyesha una maambukizi, halafu mwingine anakumbia huna!
Nadhani tatizo hapo ni kukagua vifaa...Ukiangalia guidelines za Good Laboratory Practise zinashauri kila siku kucalibrate upya machine za biochemistry na kuzitest ukitumia standard control...haya hayafanyiki kwenye lab nyingi tu. Na matokeo yake ndio hayo. Angekuwa mtu hasiye mdadisi angeshaanza uguza kisukari wakati hana!
mimi hata huwa siamini kama kunalab nzuri tena huku tanzania .maana hamna uniformity ya majibu.kila maabara watakupa majibu yao while damu ni ileile wanapimapole sana kaka....kwangu mimi kisukari ni zaidi ya ukimwi. Yaani hapo ni sawa na mtu kakuambia kipimo cha ukimwi kimeonyesha una maambukizi, halafu mwingine anakumbia huna!
Nadhani tatizo hapo ni kukagua vifaa...ukiangalia guidelines za good laboratory practise zinashauri kila siku kucalibrate upya machine za biochemistry na kuzitest ukitumia standard control...haya hayafanyiki kwenye lab nyingi tu. Na matokeo yake ndio hayo. Angekuwa mtu hasiye mdadisi angeshaanza uguza kisukari wakati hana!
mimi hata huwa siamini kama kunalab nzuri tena huku tanzania .maana hamna uniformity ya majibu.kila maabara watakupa majibu yao while damu ni ileile wanapima
craap
Si vipimo tu mkuu, hata wataalam wetu nao wanatia shaka.
Kwanza sijui wanajisikiaje wanapoona watanzania wamekosa imani na utaalam wao hadi wanatimukia nje kwa matibabu.
Utaalam naona pia imekuwa tatizo kubwa mtu ukienda hospital unalundikiwa madawa na DR wa kwanza ukienda hospital nyingine anashangaa uwingi wa mdawa na aina ya dawa ulizopewa, hujakaa sawa nayeye anakurundikia ya kwake.
Unakunywa hayo madawa wee nafuu no, mara yanakuletea side effect unabadilishiwa.
Kwakweli TZ sasa hivi intisha na hasa kwenye sector hii ya afya ma dr ni mawakala wa makampuni ya madawa, so ukigusa tu office yake unamadawa lundo bila kuchunguza vizuri ugonjwa wako na bila kutathimini side effect ya hizo dawa.
Kwa kweli kazi ipo sector imechakachuliwa!
umeona eeeh yaaani ni mawakala wa madawa hawa jamaa .inategemea ni zipi zipo nyingi store na zimekaribia kuharibika,kama ni za typhoid basi watu woooote tutapewa dozi hiyosi vipimo tu mkuu, hata wataalam wetu nao wanatia shaka.
Kwanza sijui wanajisikiaje wanapoona watanzania wamekosa imani na utaalam wao hadi wanatimukia nje kwa matibabu.
Utaalam naona pia imekuwa tatizo kubwa mtu ukienda hospital unalundikiwa madawa na dr wa kwanza ukienda hospital nyingine anashangaa uwingi wa mdawa na aina ya dawa ulizopewa, hujakaa sawa nayeye anakurundikia ya kwake.
Unakunywa hayo madawa wee nafuu no, mara yanakuletea side effect unabadilishiwa.
Kwakweli tz sasa hivi intisha na hasa kwenye sector hii ya afya ma dr ni mawakala wa makampuni ya madawa, so ukigusa tu office yake unamadawa lundo bila kuchunguza vizuri ugonjwa wako na bila kutathimini side effect ya hizo dawa.
Kwa kweli kazi ipo sector imechakachuliwa!
Riwa nyingi ya maabara hizo ni kutafuta pesa na sio kutoa huduma zile kweli za kiuchunguzi na kukupa majibu sahihi.
Kuna maabara kila uendapo pale ni lazima uambiwe either una malaria au typhoid na ukishaambiwa hayo ni lazima tuu upewe dose ya hayo magonjwa
Sasa unajiuliza mbona kila nikija hapa naambiwa tuu haya magonjwa
Wengi wamekuwa wafanyabiashara na sio kusudi lile halisi la kutoa majibu sahihi kwa wagonjwa na magonjwa yao
Unapomuambia mtu ana typhoid na aanze dose ya huo ugonjwa wakati hata dalili zake hana ni hatari sana kwa mtu huyo
BTW Mkuu Riwa kuna maswali nilikuuliza hujawahi kunipa majibu mkuu
Samahani...nikumbushe kwenye thread gani, au PM?
daah pole sana aisee, huko ndo kucheza na afya za watu sasa! Hivi ni kwa vile wamezoea kuona maiti kila siku kiasi kwamba hawajali uhai wa mtu?
Mimi niliwahi kutibiwa malaria hospitali moja, sikupona nikarudi tena wakasema nifanye vipimo kadhaa ikiwapo UTI na sikupatwa na kitu lakini afya ikazidi kudorora na mbaya zaidi walinidunga midawa ya UTI hata bila kukutwa na hilo tatizo...
Yote tisa kumi ni siku nilofanya kipimo fulani cha dawa sijui mnaita widal blood test? Nikapewa majibu ya mtu mwingine....
Nilihama na hospitali na mpaka leo 'the so called daktari wa magonjwa ya kina mama' ambaye humpati kirahisi (hapi miadi) sitaki hata kumwona.
Ndo madaktari wetu na ndo hospitali zetu
BHT heri ya mwaka mpya
Wacha tuu hawa watu ni wa ajabu sana
Nishaenda sehem mimi nikaambiwa sijui mara sukari imeshuka mara nina malaria
Wakati wanafanya hivyo nikaenda sehemu nyingine kupima wakaniambia hakuna cha sukari kushuka wala nini
Ni uchovu tuu wa kawaida wa mwili na nipate tuu mapumziko
heri na kwako bwana Rocky
yaani hizi hospitali hizi, nakumbuka kuna moja maeneo ya mikocheni tuliipa jina la 'hospitali ya wauaji'. wao hata ukienda unaumwa macho unatundikiwa drip kwanza!!!