comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,945
Katibu wa utumishi katika hospitali hiyo ndugu Anania Raiton amesema ni kweli kuna uhaba wa watumishi na hata madawa hivyo kunasababisha kuzorota kwa huduma ya afya katika wilaya, Aidha ameiomba serikali iangalie jinsi ya kuleta watumishi na vitendea kazi
Chanzo: Channel ten
Chanzo: Channel ten