Hospitali ya Taifa ya Muhimbili wazuia maeneo ya kuegesha magari

Tafakuli

Member
Mar 26, 2011
85
80
Ktk hospital hiyo Kuna maeneo mengi ya kuegesha magari lkn cha kushangaza yamewekewa uzio huku watu waliokwenda kwa shughuli mbalimbali kama kuangalia wagonjwa wakihangaika wasijue la kufanya. Ni bora watutoze fedha ili tusihangaike kwa kuwa lazima wstu waende na magari kutokana eneo Hilo kuwa Ni la Huduma kwa wanadamu.
 
Back
Top Bottom