Huwa siku zote naamini kuwa mwisho wa matatizo yote ya tiba ni hospitali yetu ya taifa Muhimbili.Lakini nimejikuta napata shaka hasa baada ya DCI Robert Manumba kuwa anahudumiwa na hospitali ya binafsi Aga Khan.Kwa kiongozi mkubwa kama huyu nilitaraji apate huduma zake MNH na ikishindikana apelekwe nje.Naambiwa kwa wenzetu waliopiga hatua, hata hospitali za jeshi huwa na huduma daraja la kwanza kabisa hasa inapotokea tatizo la afya kwa viongozi wa ngazi za juu.
Inashangaza sana,maana na nguli wa fani zote wako hapo.
Pale ni sehemu ya kupumzishia mwili wakati Mkuluu JK akijiandaa na watu wake kuandaa jina la mrithi wa nafasi hiyo, ni miujiza tu ya Yesu kama alivyofanya kwa Lazaro ndiyo itamtokea mzee wa usukumani. Kwa hakika ni kwamba Zabur 49 imekwisha timia, kwa udongo ulitoka na kwa udongo unarudi jina la Bwana libarikiwe.
kwa kweli inashangaza sana.
mabilio na mamilioni yanatengwa katika vitu vingine lakini hosp ya taifa hakuna vifaa, madaktari wanlia njaa tena hapo ndio kuna mabingwa mbalimbali.
ila kutumia katika sherehe za ikulu, shereza za uhuru na mapinduzi ahh tunatumia mabilioni.
hii ni aibu na inadhihirisha udhaifu wa serikali yetu.
na bado ni hosp ya taifa vipaumbele vya serikali viko wapi? ikiwa hosp ya taifa inakosa vifaa, hosp ya taifa??!!!!!
Hii ndo Tz,ni zaidi ya uijuavyo.Jaman madktar walisema shida iliyopo ya vifaa na kadhalika, leo hii imedhihirika yy hakuna vifaa, kapelekwa kwingine je sisi tusioweza gharama za huko aliko???kele!! uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Hosp ya taifa kukosa vifaa akhaaaaa!! maisha bora kwa kila mkubwaaaaaaaaaaa!
Yawezekana ni seroconerted wanaona hata akienda pale MNH there will be no changes. Haiwezekani akawa na malaria tu siku zote hizo haiimprove. Au ana other medical conditions lakini nawasiwasi na kwanini govt iko reluctant kufanya maamuzi kumpeleka India kwenye hospital yao. Am sorry kama nimewakwaza.
Hizi biashara za hospitali ya Taifa ni upuuzi mtupu...mfano ni hiyo muhimbili ni mzigo kwa serikali na haina lolote,hizo billions to operate muhimbili bora wawe wanawasaidia maskini kununua insurance wakatibiwe wanapotaka...muhimbili ibaki tuu iwe academic institution and research for the Nation,serikali iachane na direct health/medical care kama kuendesha hospitals or clinics