Van Pauser
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 417
- 418
Habari za muda huu ndugu watanzania wenzangu... Naamini tunaendelea vyema katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona.
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna haja ya serikali kuangalia kwa ukaribu shughuli za uratibu wa masuala ya malipo hasa upande wa network.
Mfano halisi ni kuwa leo nilienda pale hospitalini kwa ajili ya matibabu baada ya kupata ajali nikiwa katika shughuli za utendaji ila nashukuru Mungu sijaumia sana... Ila hali niliyokutana nayo pale hospitalini haikuniridhisha kiukweli kama binadamu kwa sababu.
Mfumo wa ulipaji sio rafiki kwani network(Kuna wakala pale wa CRDB cjui kama nitakuwa sahihi) yani mtu aliyemsindikiza mgonjwa anapewa control number kwenda kulipa unaenda pale kwenye malipo unakaa kusubiri network sio chini ya dakika 30 ndo anahudumiwa mgonjwa mmoja hivyo kunakuwa na msongamano mkubwa hasa kwenye upande wa dirisha la malipo.
Hivyo serikali ina haja ya kuweka mfumo mzuri wa ulipaji ili kuepusha adha kwa wagonjwa.
Alamsiki
Suala sio mimi kusaidiwa mkuu ni kwa ajili ya watu wote wanaokwenda pale kupata hudumaKuna shemeji yako ni Md hapo, siku nyingine nipigie nikupe namba yake akusaidie
Wew utaona kama lalamiko halitashughulikiwa.... Kama wewe huwezi kulichukua kwa uzito wapo wataokaolichukua kwa uzitoKwahiyo huku ndio hoja yako au lalamiko lako litashughulikiwa sio
Sawa mkuuwatakuwa wamekusikia
Suala ni njia mbadala pale inapotokea fluctuation.... Ila umeeleweka mkuuMkuu, pole sana! Ila leo, mtandao wa huduma za CRDB, zilikuwa mbaya sana. Binafsi, nimezunguka kwa mawakala watatu, wote walishindwa kutoa huduma, mpaka usiku huu.
Sina shaka hiyo ndiyo sababu. Lakini, ingekuwepo njia m'badala, mtandao ukigoma, basi waitumie, kama wanavyotumia jenereta, umeme unapokatika!
Mkuu hiyo hali ulishakutana nayo mara ngapi hapo hospitali? Leo kwa Shinyanga mtandao wa CRDB ulikuwa down sana siku nzima! Kwa hiyo mkuu usikariri!Habari za muda huu ndugu watanzania wenzangu... Naamini tunaendelea vyema katika mapambano dhidi ya virusi vya Corona.
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Kuna haja ya serikali kuangalia kwa ukaribu shughuli za uratibu wa masuala ya malipo hasa upande wa network.
Mfano halisi ni kuwa leo nilienda pale hospitalini kwa ajili ya matibabu baada ya kupata ajali nikiwa katika shughuli za utendaji ila nashukuru Mungu sijaumia sana... Ila hali niliyokutana nayo pale hospitalini haikuniridhisha kiukweli kama binadamu kwa sababu.
Mfumo wa ulipaji sio rafiki kwani network(Kuna wakala pale wa CRDB cjui kama nitakuwa sahihi) yani mtu aliyemsindikiza mgonjwa anapewa control number kwenda kulipa unaenda pale kwenye malipo unakaa kusubiri network sio chini ya dakika 30 ndo anahudumiwa mgonjwa mmoja hivyo kunakuwa na msongamano mkubwa hasa kwenye upande wa dirisha la malipo.
Hivyo serikali ina haja ya kuweka mfumo mzuri wa ulipaji ili kuepusha adha kwa wagonjwa.
Alamsiki
Suala hapa sio kukariri..... Suala ni kwamba serikali iboreshe mfumo wa ulipaji kwani hapo kuna dirisha moja la malipo wakati wagonjwa ni wengi halafu anayehudumia ni mtu mmoja.....Mkuu hiyo hali ulishakutana nayo mara ngapi hapo hospitali? Leo kwa Shinyanga mtandao wa CRDB ulikuwa down sana siku nzima! Kwa hiyo mkuu usikariri!
Mbona hospitali iko mjini kabisa na huduma za CRDB ziko sehemu nyingi tu hapo mjini? Kwani kuna mahali wanalazimishwa kulipia sehemu moja tu?Suala hapa sio kukariri..... Suala ni kwamba serikali iboreshe mfumo wa ulipaji kwani hapo kuna dirisha moja la malipo wakati wagonjwa ni wengi halafu anayehudumia ni mtu mmoja.....