Hospitali ya KCMC yakumbwa na tuhuma nzito za ufisadi wa mabilioni ya fedha

Hebu nipeni maelezo kwa ufupi Serikali na KKKT wanamiliki hiyo hosp kwa makubaliano yapi. Na wananufaika vipi. Maana mkisema kuna ufisadi mara sijui raisi aende, mara oooh wazir wa afya wakati ni hospital ya asasi ya kidini nashindwa elewa
Gonga like. Nipe maelezo. Sitaki povu

Kumkoma nyani geladi
Hakuna hospital ya kidini inayojiendesha 100%. Serikali ni mdau mkubwa sana kcmc nazani inalipa karibu mishahara yote ya watumishi. hivyo hatua za kiuchunguzi zifanyike ku clear hizo allegations
 
Umejitahidi kuwatetea na si bure lazima utakua mnufaika.

Kama ulivyoeleza Kcmc ni shirka la kanisa ktk huduma za afya je haitoshi hilo tu kuonyesha interest kwa nn taasis ya kidini kukumbwa na tuhuma za kifisadi?

Kuanzisha vitengo vipya haviondoi uwezekano wa ufujaji wa fedha. Ila ni kweli mleta uzi huu kaonyesha kushambulia viongozi personally zaidi kuliko kujikita kujenga hoja ni kwa namna gani mambo hayo yameathiri huduma za afya.
 
Mitandao ya kijamii inapotumika kuchafuana. Uongozi ni changamoto. Mwenyezi Mungu awape wepesi watendaji wa KCMC katika kukabiliana na changamoto mlizonazo. Majungu ni Mtaji wa Wajinga. Msivunjike Moyo
 
Aisee Professor Chegulu kumbe walimfukuza... Bingo la Dr ambao nilishakutana na nao....sema alikuaga anafanyaga part time pale kwa masister Soweto....utakua vyema kama kahamia hapo kabisaa.
 
Back
Top Bottom