Hospitali ya Kamanga jirekebisheni

Hospitali ya Kamanga jirekebisheni

Nakazia hapa KENZY ,juzi nimeenda na bima yangu ya NHIF nimeambuliwa sindano la kuchomea ng'ombe, lile kubwa, halafu dozi yenyewe quinin! [emoji24][emoji24]

Mguu umekufa ganzi!
Quinine kwa ajiri ya kutibu malaria au kitu gani???? Sidhani hio dawa mpaka sasa inatumika kwenye matibabu ya malaria
 
Walichokifanya kwa wife 2017 sitosahau, nlimpeleka anaumwa, ameishiwa nguvu, akakaa wodini masaa 5 bila huduma yoyote, nkampeleka Hospital nyingine, akapata huduma muda alivyofika tu.

Hadi nnaondoka Mwanza sikuwahi kanyaga tena kwenye hiyo Hospital.
 
Nilipoteza mwanangu hapo mwaka jana kwa uzembe wa Doctor Maibe, daktari wa wajawazito. Sitaki kuwasikia hao watu, yaani mtu anachukulia powa kila kitu kumbe issue ni serious. Kila ukimpigia unajitambulisha upya.
 
Back
Top Bottom