Hospital zetu tunapata Watalii wa matibabu?

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
2,977
Reaction score
1,900
Apollo hospital India mwezi huu ilipata Tuzo KWA kuchangia pato la taifa Kama kivutio cha utalii nchini india.

Asilimia kubwa ya watanzania wenye kipato cha kati na matajiri, wanapata tu huduma ya kwanza kwenye hospital zetu kisha kwenda nje ya nchi.

Utalii wa kimatibabu ni utalii maarufu sana duniani Na nchi ya india ipo juu kabisa KWA kusifika KWA huduma nafuu kabisa za matibabu.

Huu ni unafuu wa gharama katika asilimia

Brazil: 20-30%
Costa Rica: 45-65%
India: 65-90%
Malaysia: 65-80%
Mexico: 40-65%
Singapore: 25-40%
South Korea: 30-45%
Taiwan: 40-55%
Thailand: 50-75%
Turkey: 50-65%

Tanzania tumechangia mapato zaidi ya asilimia 20 ya wagonjwa waliowahi kutibiwa Apollo. Hii imechangia upotevu wa mabilioni ya fedha katika uchumi wa TanZania Richa ya Tanzania Kuagiza Pikipiki ya boxer kutoka india.

Mwaka Jana ilitokea mtafaruku mkubwa kabisa wa kati ya serikali Na MSD kuhusu Deni la Dawa hospital ya muhimbili Hii inatokana serikali kutokuwa Na fedha kuilipa MSD.

Mimi nasema Kama kweli mwaka huu tumeshindwa kuweka Elimu bure KWA kila mtanzania inamaana Tanzania bado tutakuwa hatuna madaktari wa kutosha. Kufanya taaluma hii kuwa kubwa na kuvutia watalii kutoka nchi mbalimbali.

KENYA
Kenya is positioning itself as a medical hub, taking services to other East African countries and offering credit to patients who finance health bills out of their own pockets.

With growth in technology and many specialised medical practitioners in the region, many patients in East Africa are now opting to come into the country as it is nearer home for the same medical treatment they seek abroad.

These patients come from Burundi, Rwanda, Tanzania, Uganda and some from as far as Zambia, Malawi and Congo to seek medical services that include in vitro fertilisation (IVF), open heart surgery, cancer treatment, kidney transplant, neurological disorders and diagnostics services.

Stephen Masinde director of A&K Global Health, a medical tourism firm, said they bring about 200 patients per month into the country with the majority (about 70 per cent) coming for IVF.

“We expect to be bringing in 2,000 patients a month in the next one year,” said Mr Masinde.

He added that previously patients had to rely on their own research or recommendations to choose a hospital in Kenya. This was tricky for some as they did not have a contact person before travelling for medical care.
 
ndio maana tunataka MAGUFURI FOR CHANGE..
 
Ni mabadiliko tuu hata kama tutakuwa kama Libya ya Saddam!
 
Sidhani kama tunahitaji kufikiria kupokea wagonjwa kutoka nchi nyingine sasa hivi. Tujitosheleze sisi kwanza hali ni mbaya sana kwenye mahospitali yetu hakuna mtu asiyejua hilo. Na ninavyowaelewa madaktari wetu kwa uzembe nchi itashtakiwa mahakama za kimataifa pale mgonjwa wa mguu atakapopasuliwa kichwa.
 
Apollo hospital India mwezi huu ilipata Tuzo KWA kuchangia pato la taifa Kama kivutio cha utalii nchini india.

Asilimia kubwa ya watanzania wenye kipato cha kati na matajiri, wanapata tu huduma ya kwanza kwenye hospital zetu kisha kwenda nje ya nchi.

Utalii wa kimatibabu ni utalii maarufu sana duniani Na nchi ya india ipo juu kabisa KWA kusifika KWA huduma nafuu kabisa za matibabu.

Huu ni unafuu wa gharama katika asilimia

Brazil: 20-30%
Costa Rica: 45-65%
India: 65-90%
Malaysia: 65-80%
Mexico: 40-65%
Singapore: 25-40%
South Korea: 30-45%
Taiwan: 40-55%
Thailand: 50-75%
Turkey: 50-65%

Tanzania tumechangia mapato zaidi ya asilimia 20 ya wagonjwa waliowahi kutibiwa Apollo. Hii imechangia upotevu wa mabilioni ya fedha katika uchumi wa TanZania Richa ya Tanzania Kuagiza Pikipiki ya boxer kutoka india.

Mwaka Jana ilitokea mtafaruku mkubwa kabisa wa kati ya serikali Na MSD kuhusu Deni la Dawa hospital ya muhimbili Hii inatokana serikali kutokuwa Na fedha kuilipa MSD.

Mimi nasema Kama kweli mwaka huu tumeshindwa kuweka Elimu bure KWA kila mtanzania inamaana Tanzania bado tutakuwa hatuna madaktari wa kutosha. Kufanya taaluma hii kuwa kubwa na kuvutia watalii kutoka nchi mbalimbali.

Tatizo serikali ya CCM haijifunzi , wanajua wao kuingiza pesa za kigeni kuko kwenye utaliii peke yake ,Wenzetu wakakimbia katika sekta ya afya sisi tuna tambaa, basic items hatuna kama vile ,dawa,vitanda,ambulance nk . Hata ikija kwenye technology bado tuko mbali utakuta mgonjwa nafanyiwa operation katika technology ya kizamani baada ya kukaa hospitalini siku moja anakaa wiki matokeo yake wagonjwa wanalala chichi kutokana na upungufu wa vitanda hii
 
Unaijua taasisi ya JAKAYA KIKWETE HEART INSTITUTE?
 
Sasa hivi nimetoka kusikia kwenye radio inakabiliwa na upungufu mkubwa wa dawa na damu (EA Radio habari kwa ufupi saa 7 mchana)

Ok basi sawa kama vijana wanashindwa kwenda shule kutoka Na Ada sipati picha.
 
ndo maana tunataka rais mwanasayans km dr magufuli mtaalam wa mahesabu na kemia ili awe mfano kwa watoto wetu.
 
Tanzania hatujawahi kuwa na political commitment kwenye kitu chochote.
Labda lowasa aje na ukawa yake.
Lakini Magufuli ni yuleyule na CCM yake.
 
Tatzo wa tz hatuaminian dat y hata cc ma engineer hatupew kaz wanapewa weny ranv nyeupe wasiosoma kama cc
 
hawa ccm wametuweza baada ya kutengeneza taifa la mazuzu kwa ku2nyima elimu nionavyo mimi ikiwa wataendelea kutawala tutazalisha wakimbizi wa maisha magumu
 
Nimemsikia kiongozi mmoja wa CCM Katika mikutano kuomba kura akisema hajui kwa nini wagonjwa wanalala watatu kwenye kitanda kimoja hospitalini. Hakuishia hapo bali aliendelea kwa kuwatuhumu watendaji ktk sekta ya afya kuwa ndio chanzo cha kukosekana kwa dawa mahospitalini.

Huyu kiongozi ni waziri hadi sasa, kuwa waziri ni kama kuwa mshauri wa rais, na anashiriki kufanya maamuzi juu ya utendaji na uendeshwaji wa sekta mbalimbali....je anashindwa kujiuliza yeye mwenyewe?
 
ndio madhara ya kukumbatia na kukumbatiwa na chama kama waziri hajui nani ajue? yaani hawa jamaa wanatia hasira hata sina ham nao
 
Inakuwaje unaifananisha Tanzania na India?
Size yetu ni Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, Malawi
 
SHARE THIS STORY
24
inShare

Back
Top Bottom