Hospital ya Tabata Magengeni (NBC -Magengeni) haina dawa Kabisa.

Mzee wa Wima

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2016
Posts
537
Reaction score
296
Habari za usiku huu wana jamvi wenzangu.Nina jambo nataka kuwashirikisha wenzangu kuhusu hospital hii ambayo iko chini ya halmashauri ya Ilala.Kifupi ni kwamba HAKUNA HUDUMA YA DAWA KABISA.Nilikuwa hapo Mda mfupi uliopita mwanangu akiwa anachomwa sindano za masaa wakati huo Mimi nilishajinunulia dawa mapema nilizoagizwa na daktari ninunue kama nahitaji mwanangu aweze kutibiwa tatizo lake la kifua Kubana.Wakati nasubiri mda ufike ili nipate dozi ya pili wakaja wagonjwa wawili mmoja MTU mzima na mwingine ni mtoto mdogo wa mwaka na nusu ambae alikuwa amebanwa sana kifua,baada ya kumuona daktari akaja kwa nesi aliempokea mwanzo akamtarifu kuwa hakuna DAWA kwa kweli ilinisikitisha sana kwa jinsi hali ya mtoto ilivyokuwa, ikabidi yule mzazi aondoke asijue la kufanya. Kwa kweli nilijisikia vibaya kusikia kauli ile toka kwa nesi wa zamu, siwezi kumlaumu yeye na daktari ilibidi ni mdadisi akaniambia hali ni mbaya hapa sana sana. SASA OMBI LANGU KWA WAZIRI/NW JAMANI ANGALIENI HALI ZA WATANZANIA WA HALI ZA CHINI. MH KIGWANGALA TAFADHALI NAJUA NI MWANA JAMVI HUMU TUPIA JICHO HOSPITALI HII.KAMA MJINI HALI NI HIVI JE HUKO VIJIJINI HALI IKOJE?wadau karibuni kwa kuchangia.
 
poleni halafu hako ka hosp kako uchochoroni mtu anaweza akakuelekeza ukashindwa kufika hapo.. hivi malecela ndio aliizindua au
 
Kweli aisee, ila ufafanuzzi kidogo naomba unisaidie ni zahanati, kituo cha afya au hospital
 
Watanzania tunaishi kimungumungu tu.

Jamaa nchi imeshamshinda kabisa.
 
DAWA ZIPO ZA KUMWAGA TU...VUMILIENI SOON ZITALETWA HAPO HOSPITALI

OVA
 
Kila kituo cha Huduma kina utaratibu wa kuagiza dawa chenyewe MSD kwa kadri ya matumizi yao na pesa yao wanaoipata kituoni yaani makusanyo na dawa wanazohitaji, kwani kila kituo kina account yake Bank.

Serikali inaleta dawa na vifaa tiba muhimu ambavyo havitolewi na MSD mfano chanjo,dawa za TB na HIV n.k

Na kila kituo kina Kamati ya Afya yenye wajumbe toka ofisi Serikali za mitaa,wafanyakazi wa kituo,ambayo kazi zake ni pamoja na kuangalia Huduma na mahitaji yote ya kituo.

Hizo Kamati kama haziwajibiki ipasavyo kituo hakitakuwa na dawa.

Serikali haigawi dawa kila kituo ilivyokuwa enzi Mwl ni kazi ya kituo kuhakikisha dawa zipo kutokana pesa wanazopata.
 
Habari za usiku huu wana jamvi wenzangu.Nina jambo nataka kuwashirikisha wenzangu kuhusu hospital hii ambayo iko chini ya halmashauri ya Ilala.Kifupi ni kwamba HAKUNA HUDUMA YA DAWA KABISA.Nilikuwa hapo Mda mfupi uliopita mwanangu akiwa anachomwa sindano za masaa wakati huo Mimi nilishajinunulia dawa mapema nilizoagizwa na daktari ninunue kama nahitaji mwanangu aweze kutibiwa tatizo lake la kifua Kubana.Wakati nasubiri mda ufike ili nipate dozi ya pili wakaja wagonjwa wawili mmoja MTU mzima na mwingine ni mtoto mdogo wa mwaka na nusu ambae alikuwa amebanwa sana kifua,baada ya kumuona daktari akaja kwa nesi aliempokea mwanzo akamtarifu kuwa hakuna DAWA kwa kweli ilinisikitisha sana kwa jinsi hali ya mtoto ilivyokuwa, ikabidi yule mzazi aondoke asijue la kufanya. Kwa kweli nilijisikia vibaya kusikia kauli ile toka kwa nesi wa zamu, siwezi kumlaumu yeye na daktari ilibidi ni mdadisi akaniambia hali ni mbaya hapa sana sana. SASA OMBI LANGU KWA WAZIRI/NW JAMANI ANGALIENI HALI ZA WATANZANIA WA HALI ZA CHINI. MH KIGWANGALA TAFADHALI NAJUA NI MWANA JAMVI HUMU TUPIA JICHO HOSPITALI HII.KAMA MJINI HALI NI HIVI JE HUKO VIJIJINI HALI IKOJE?wadau karibuni kwa kuchangia.
Mkuu hiyo siifaham iko sehem gani. Angalau kile kituo cha Afya pale Tabata-Shule ni kikubwa
 
Kama hospital hazina dawa sasa hizo hospital kazi yake nini? Ni bora tu zifungwe ieleweke moja kwamba hatuna hospital.
 
Tumekubaliana kuanzisha kiwanda cha kutengeneza dawa hapa hapa nchi dawa hazita agizwa tena kutoka India mwambie mgonjwa avumilie soon tunaanza mchakato wa kujenga viwanda na dawa zake zitapatikana...by the way ukifika hapo magegeni kituo kinachofata Nyumba ya tanesco kuna ki dispensary kingine sina ahakika kama ndio unachokizungumzia..!!
 
Naibu Waziri akimaliza kukamata wauza gongo, atakuja kufuatilia hilo tatizo.
 
Usahihi

Haipo tabata magengeni. Ipo tabata liwiti kituo cha Posta.

Nyuma ya ofisi za tanesco. Kwa kuongezea tu madaktari wake Wana majibu Machafu. .na Kuna kinesi flan kinaitwa neema cheusi kina dharau sana Kwa wagonjwa na majibu ya nyodo.
 
Hivi c kazahanati?
 
Ni Kweli Muu ni Maeneo hayo hayo ya Tanesco.
 
poleni halafu hako ka hosp kako uchochoroni mtu anaweza akakuelekeza ukashindwa kufika hapo.. hivi malecela ndio aliizindua au
Ni Kweli Mkuu ni Mzee wetu wa Mtera - Dodoma Chigywemisi hata jina linafahamika hivyo.hali si nzuri mkuu kwa niliyoyaona usiku wa kuamkia leo.
 
Back
Top Bottom