watoto 34 wamefanyiwa upasuaji katika hospital ya moyo ya Jakaya Kikwete. Kinachonishangaza hawa akina Mengi na Lions club mbona hawapeleki watoto kutibiwa hapo? au kule india kulikuwa na siri gani? kwani walikuwa tayari hata kuwakusanya mitaani ili mradi wawapeleke india.