Shida ya waafrica mnaangalia hospitali nzuri kuliko Dr. mzuri....Ndugu habarini?
Naomba kuuliza kwa hapa Dar Hospital gani nzuri nitapata dermatologist.


Subiria maajabuNilitaka kusema dr mzuri, nisamehe kwa kuto kueleweka kwanguUnataka hospital ndo iwe nzuri au dermatologist ndo awe mzuri?
AhsanteJaribu CCBRT maana naonaga matangazo yao pale kuhusu ishu yako