Hospital gani hapa bongo wanafanya operation za gyno

mbwewe

JF-Expert Member
Sep 10, 2014
3,267
3,401
Wakuu naomba kujua hospital hapa bongo wanafanya operation za kuondoa gyno kwenye matiti ya mwanaume na ningefurahi kama nitajua na gharama.
 
Nenda India mzee hii ni plastic surgery inahitaji umakini/uzoefu otherwise unaweza ukaharibika zaidi.
 
Mkuu hospitali kibao zinafanya hiyo procedure.

Kwa kukurahisishia tu nenda TUMAIN hospital wanafanya omba kuonana na Dr Ngiloi
 
Back
Top Bottom