KAKA A TAIFA JF-Expert Member Joined Apr 27, 2011 Posts 566 Reaction score 83 Sep 8, 2011 #1 Hapa ili haki itendeke awe mahututi au mzima lazima afikishwe mbele ya vyombo vya haki Attachments RAISI MUBARAK.jpg 29.7 KB · Views: 88
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,927 Reaction score 1,161 Sep 8, 2011 #2 Kwanini wasimsomee mashitaka yake huku hospitali? Hii inaonesha kama akifa mwili wake utakuwa unapelekwa mahakamani kujibu mashitaka.
Kwanini wasimsomee mashitaka yake huku hospitali? Hii inaonesha kama akifa mwili wake utakuwa unapelekwa mahakamani kujibu mashitaka.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,589 Sep 8, 2011 #3 Likwanda said: Kwanini wasimsomee mashitaka yake huku hospitali? Hii inaonesha kama akifa mwili wake utakuwa unapelekwa mahakamani kujibu mashitaka. Click to expand... ataungana na babu yake Pharaoh
Likwanda said: Kwanini wasimsomee mashitaka yake huku hospitali? Hii inaonesha kama akifa mwili wake utakuwa unapelekwa mahakamani kujibu mashitaka. Click to expand... ataungana na babu yake Pharaoh