Hosea wa Takukuru yuko live ITV sasa hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hosea wa Takukuru yuko live ITV sasa hivi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Zak Malang, Jun 20, 2011.

 1. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Yule Hosea wa Takukuru sasa hivi yuko live ITV katika kipindi cha Dak 45 akibwabwaja. Sijui wataruhusu maswali?Aulizwe ile ripoti ya Wikileaks kwamba alinukuliwa akilalamika kwamba JK anamzuia kuwashitaki baadhi ya mafisadi.
   
Loading...