Hosea: Ole wenu mafisadi wa siasa

- Hosea aaaghhhhrr Tanzania bwana, unakumbuka Rais alisema nini kule Mbeya, alisema kwamba ana majina ya wahalifu wote na wauza unga, mpaka leo imekuwa hadithi! hadithi! hadithi njooo!

FMEs!
 
Tumezoea kusikia mwimbo na ngonjera hizi hizi na wakati umefika na kusema no kwa namna ya watu kama hawa

Naam Mkuu, rekodi yake haionyeshi kukamata fisadi yeyote hadi sasa ni kupiga kelele tu huku na kule lakini tukija kwenye utendaji ni ZERO.
 
Kutumia zaidi ya shs millioni 700 kwa ajili ya majengo ya Takukuru is pure farcical na loss of taxpayers money.

Lindi kuwa na jengo la TAKUKURU ni matusi kabisa.Wananchi wa Lindi wangepewa pesa hizo kujenga shule na zahanati.Ufisadi kila mtu anajua unaanzia kwenye govt bodies!
Kama tungekuwa na competent auditors,accountants,bankers yote haya yasingetokea.Lakini kuna COLLUSION
katika ngaji za juu za chama na serikali,.

I have stopped to be fooled by these morons!
 
Kweli Tanzania tuna kazi kubwa sana katika mambo ya rushwa na hasa kwa kipindi hiki ambacho kila mtu anataka kujisafisha kwa mambo yake ya ajabu ajabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom