Horror, vampire, violet, brutal, goly, gruesome movies

Kama mnataka muvi ambazo ukiziangalia unaweza kupatwa na PTSD basi search hivi google kisha chagua list iliyo chini kabisa though kuzipata ni ngumu ila ukitafuta tafuta unaweza kufanikiwa .

1. Ingia google kisha andika "Horror movie iceberg"

2. Muvi zilizo juu ya iceberg ni zinatisha kawaid mfano wa hizo zilizotajwa hapo na mtoa uzi.

3. Zilizo mwisho kabisa wa iceberg basi ndo abazo zilipigwa marufuku nchi nyingi na hata mitandaoni hazipatikani kutokana na kutisha kwake hizo ndo uizitafute uangalie kama una roho ngumu tuanze na iliyo mwisho kabisa mwa iceberg

MDPOPE = Most Disturbed Person On Planet Earth

Mkuu MDpope hio kama una link au unayo tunaweza fanya namna.
 
Jaribu kuangalia kwenye torrent sites mkuu sitaki chochote kinachohusiana na hizo movies , kwa urahisi hiyo movie iceberg hii hapo
 
Attachments

  • nf0ky51gk2f61.jpg
    nf0ky51gk2f61.jpg
    116.8 KB · Views: 24
Paranormal activity 1& 2,
Insidious 1-4,
Conjuring 1-3,
Anabelle 1-3
The nun
 
Back
Top Bottom