whiteskunk
JF-Expert Member
- Jul 24, 2021
- 3,928
- 9,448
Ni za mwaka huu tu au? Maana sijaona vyuma bado
MchanganyikoNi za mwaka huu tu au? Maana sijaona vyuma bado
Nyingi ni za darkweb , nilicheki serbian movie nikaishia kupandwa na hasira tuHizo noma
Hizo achana nazo zitakualibu mindsetNyingi ni za darkweb , nilicheki serbian movie nikaishia kupandwa na hasira tu
Mimi nazipenda japo nilikuwa nikiangalia zamani mfano wrong turn nimeziona zote,SAW,stag night of the dead,piranha 3D na kuna moja jina lake nimeisahau kuna alikuwa na uwezo wa kuota ajali itakayotokea kwenye future yani mzee zile ajali zinatisha watu wanakatikakatikaLete list sasa
Sijaona the nun, exorcism of god,Mchanganyiko
Yes, from dusk till down ni mashineCabin Fever 1,2,3,4
From Dusk Till Dawn 1,2,3
Mkuu, mm ni Mpenzi wa movie kama hizi, Sasa nikitaka nizipate au kuzipakuwa niingie Mtandao gani/upi..?Wakuu hii ndo list ya movie zakutisha,kusumbua ,mazombi ,mauaji,kutesa nk
[emoji419]Trauma
[emoji419]The human centipede
[emoji419]Atrocious
[emoji419]A Serbian film
[emoji419]Terrifier
[emoji419]Grotesque
[emoji419]August underground
[emoji419]Inside
[emoji419]I spit on your grave
[emoji419]Antichrist
[emoji419]Frontier
[emoji419]High tension
[emoji419]7 Days
[emoji419]The sadness
[emoji419]Maniac
[emoji419]Irreversible
[emoji419]saw lll
[emoji419]The girl next door
[emoji419]Hostel
[emoji419]Martyrs
[emoji419]The loved ones
[emoji419]Devil's weekend
[emoji419]The descent
[emoji419]Bone tomahawk
[emoji419]The platform
[emoji419]The snowtown murders
[emoji419]Man behind the sun
[emoji419]Yummy
[emoji419]Eden lake
[emoji419]Evil dead
[emoji419]The beyond
[emoji419]The hill have eyes
[emoji419]The hunt
[emoji419]Revenge
[emoji419]Diary of demon 3
[emoji419]Die hard Dracula
[emoji419]Planet blood
[emoji419]Dracula reborn
[emoji419]Way of the vampire
[emoji419]Bloodsucker
[emoji419]Dracula 2012
[emoji419]Dracula 3000
[emoji419]Absence of light
[emoji419]Alien blood
[emoji419]Immortality yours
[emoji419]Vegas vampires
[emoji419]Vampire boys
[emoji419]Midnight mass
[emoji419]Dracula guest
[emoji419]Eternity
[emoji419]Temptation
[emoji419]Zombie brigade
[emoji419]A feast of flesh
[emoji419]Terror of Dracula
[emoji419]New breed
[emoji419]Bled
[emoji419]Ludo
[emoji419]Mama Dracula
[emoji419]Sunset society
[emoji419]The vampire conspiracy
[emoji419]Blood dynasty
[emoji419]Wrong place, wrong time
[emoji419]The bleeding
[emoji419]Vampire cop
[emoji419]Doctor Dracula
[emoji419]Dracula rising
[emoji419]Empress vampire
[emoji419]Beyond the dark
[emoji419]chasing darkness
[emoji419]Vampire
[emoji419]Bloodlust
[emoji419]Love, vampire style
[emoji419]Vampiro
[emoji419]Embrace the darkness
[emoji419]Vampire virus
[emoji419]30 day of the night View attachment 2538040
Ongeza na nyingine
Dimitiv🎥Vegas🎬 ingia telegram groupMkuu, mm ni Mpenzi wa movie kama hizi, Sasa nikitaka nizipate au kuzipakuwa niingie Mtandao gani/upi..?
Yts. Mx, 1377xMkuu, mm ni Mpenzi wa movie kama hizi, Sasa nikitaka nizipate au kuzipakuwa niingie Mtandao gani/upi..?
GoodCabin Fever 1,2,3,4
From Dusk Till Dawn 1,2,3
kubali sana hiii kuanzia script , story , hasa ile ya tatuYes, from dusk till down ni mashine
Final destinationMimi nazipenda japo nilikuwa nikiangalia zamani mfano wrong turn nimeziona zote,SAW,stag night of the dead,piranha 3D na kuna moja jina lake nimeisahau kuna alikuwa na uwezo wa kuota ajali itakayotokea kwenye future yani mzee zile ajali zinatisha watu wanakatikakatika
Ha ha wale wadada walivamia mtumbwi wa vibwengoHuman centipede haifai aisee.. yule psychopath fala sana.
Sijaandika zote hizo ni bahadhi tu na wala sijaandika movie bora ni list tu mkuu ongeza na wewe nyingineBila underworld list yako ni batili