Horror movie

Horror movie

Tafuta The Conjuring Universe. Angalia zote!

Kinachoongeza ubora zaidi katika horror movies ni uwepo wa zile infrasounds. Ni frequency ndogo sana za sauti ambazo mtazamaji huzisikii ila unaweza kuhisi katika fahamu zako uwepo wa kitu fulani hatarishi pale zinapokuwepo frequency hizo.

Ukiondoa hizo sauti, horror movie inaweza kuishia kuwa kama comedy tu!
 
Hilo ni kweli sikupingi kunasiku nimeangalia horror movie imetafsiliwa na hawa jamaa zetu wa kariakoo zile sound na vishindo vya kutisha amezimute ana zunguza yeye basi hata kama kunajambo baya linataka kutokea husikii viashilia vyovyote sauti basi movie ikapoteza maana kabisa movie tamu ni zile original utainjoy
 
Nimeangalia movie kadha za kutisha ila hizi mbili ni shida

1. The NUN
2. SICCIN 2

Kama kuna nyingine unaifahamu ni kiboko zaidi nisaidie jina lake nikajipime ujasiri wangu

Ciccin zipo mpaka 5 hiz narudia tena ukiweza kuzimaliza zote 5 lazim moyo wako ufe ganzi
 
Antlers -2021 ,itafute hii Mzee nimetoka kuicheki Leo Kali Sana na Kuna nyingine inaitwa Death valley nipo mbioni kuicheki
 
Hilo ni kweli sikupingi kunasiku nimeangalia horror movie imetafsiliwa na hawa jamaa zetu wa kariakoo zile sound na vishindo vya kutisha amezimute ana zunguza yeye basi hata kama kunajambo baya linataka kutokea husikii viashilia vyovyote sauti basi movie ikapoteza maana kabisa movie tamu ni zile original utainjoy
Yule fala wa kko movie zake zinaangaliwa na vichaa tu, hajui maana ya sound za movie
 
Movie za kutisha za nini? Muniwekee hapa za malavi lavii ya kuangalia kesho sitoki ndani.
 
Nimeangalia movie kadha za kutisha ila hizi mbili ni shida

1. The NUN
2. SICCIN 2

Kama kuna nyingine unaifahamu ni kiboko zaidi nisaidie jina lake nikajipime ujasiri wangu
Hiyo siccin 2 inaelezea visa vya kweli vilivyotokea Uturuki ..namna watu wanavyokua possesed na majini..japo kwa wale wasiopenda kusikia qoran ikisomwa inaweza ikawa distrubing kwao..so far ni muvi nzuri sana..nisimalize maneno! Sikujua kama waturuki ni wakali kwenye horror kiasi hiki..nilijua ni kule azam tu kwenye tamthilia hizi za kawaida.
 
Tafuta The Conjuring Universe. Angalia zote!

Kinachoongeza ubora zaidi katika horror movies ni uwepo wa zile infrasounds. Ni frequency ndogo sana za sauti ambazo mtazamaji huzisikii ila unaweza kuhisi katika fahamu zako uwepo wa kitu fulani hatarishi pale zinapokuwepo frequency hizo.

Ukiondoa hizo sauti, horror movie inaweza kuishia kuwa kama comedy tu!
ni nyoko hizii mamaeee
 
Kuna mziki unaitwa Hellriser huu upo full packege ukiumaliza huu unaweza hata kwenda kulala na misikule bila shaka

Mkuu ni ipi kati ya hizi hapa chini...?

Screenshot_20220107-114352.jpg

Screenshot_20220107-114653.jpg
 
We unamuona fala labd kwa sabab lugha inapanda(msomi) Ila sisi wa darasa la nne B tunamuona mkombozi wtu maan bila yey tungekua tunaangalia muvi Ila tunatoka bila bila
Yule fala wa kko movie zake zinaangaliwa na vichaa tu, hajui maana ya sound za movie
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom