Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 12,845
- 27,270
Will Africa get a black Pope?
Thinking that there can be a black Pope from Africa is ignorance on steroids.
Why does Africa still seek validation through western institutions?
Wakristo wengi wa Afrika hawajui na hawaelewi kwamba papa sio tu kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani, bali pia ni kiongozi mkuu wa kisiasa wa Vatikani.
Papa ni kiongozi mkuu wa kanisa katoliki duniani, Pia ni mkuu wa Jimbo la Vatikani, Jimbo huru lililo ndani ya mji wa Roma.
Vatican is a separate independent city- state located within Rome.
Papa ana mamlaka ya kidini juu ya kanisa katoliki duniani🌍.
Pia, Papa ana mamlaka ya kisiasa na kiraia ndani ya jimbo la Vatikani pekee.
Kufikiri kwamba "Papa mweusi" anaweza kuchaguliwa kutoka Afrika, akatawale Vatikani na awe mkuu wa Vatikani mwenye mamlaka kisiasa na kiraia, ni ndoto za mchana, ndoto za Ndaria na ndoto za Alinacha.
Kufikiri kwamba Afrika inaweza kutoa Papa akaongoze na kusimamia siasa za Vatikani, Ni sawa na kufikiri klabu kama Real Madrid, Man City, Bayern Munich au PSG zinaweza kuteua na kumchukua Kocha kutoka klabu za Namungo au Ihefu akaongoze, akasimamie na akawafundishe mpira....⚽
Wachina, waarabu, wahindi, Wajapani na wakorea wanapambana kukuza tamaduni zao, mila zao na imani zao.
Waafrika bado wanafikiri kutukuza imani za wazungu na wanapambana wakawe viongozi wakuu wa ngazi ya juu, kwenye miji ya watu..!!!
Mpaka sasa kuna 266 popes waliohudumu katika kanisa katoliki. Na katika hao 266, mapapa watatu tu ndio wanadaiwa kutoka Afrika(Pope Victor I, Pope Miltiades na Pope Gelasius I).
Na hawa mapapa watatu walihudumu kwenye karne ya pili huko. Kiasi kwamba hakuna taarifa, ushahidi na utafiti wa kina unaothibitisha kwamba kweli walitoka Afrika. Ni historia ya kanisa tu, imeandika hivyo.
Kwenye kikao cha siri cha makardinali kumchagua papa
(Conclave), Idadi kubwa ya makardinali ni kutoka ulaya. Makardinali kutoka Afrika tayari wanazidiwa kete. Wanaenda tu kukamilisha ratiba na utaratibu.
The Vatican is a European institution. The Catholic church's roots and headquarter are in Europe. Its culture and governance model are Eurocentric.
The Cardinals who vote for a pope are predominantly European and western- trained. And most of them are from Europe.
Waafrika wanaenda kama wasindikizaji tu.
You can't see Japanese, Chinese, Indians, Arabs or Koreans fighting to lead the Vatican. Why?
Because they are focused on building their own cultural power, reviving their philosophies, beliefs, languages, economies and technology. They are not seeking validation from western countries. They cannot be manipulated by western religious systems.
It's only Africans who are seeking validation from western religious systems to the point that, they hope for the black pope from Africa.
The Vicar of christ, Pontiff(Pope) and the Political head of Vatican must be a whiteman. Africans are only reserved for Devil's representatives only.
Christianity has nothing tangible to offer a black race in this life. Two weeks from today, time to burn black smoke to elect another white pope.
The least qualified white man will be picked over a most qualified black man, if it comes to that.
A white man cannot bow to a black pope.
Think or Sink.
I'm out.