Hopefully watatoa ngoma moja kalii.!!!!

hata mm nna picha nme piga na wasanii
 
Niliona post ya chande mwezi mmoja kabla ya kifo alimpost rayvany na kuaandika Welcome my son.

Naanza kuamini.Yaan mtu hana nyimbo ya kutikisa hata bongo kwanza tuzo tu ua east africa hana jason derule amemjuaje???
 
So probabily HE IS IN?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…