Think Tank
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 233
- 25
Karibuu mgeni karibuu kwenye jamvii hili la CHADEMA!! Lakini kama wewe ni CCMm ni bora utoke berenge mapema
Mtambo bwana, mwache aje hata kama ni wa sisiemu ili tumsaidie kufikiria mbali. si unajua hawa jamaa wanafikiria kama kuku anavyoona, karibuuuuu so mwache tumpe mawazo mbadala yatakayomfanyia blood transfusion kutoka njano na kijani hadi ile ya chama kubwa CHADEMA
Karibu sana mjengoni lakini soma sheria za hapa vizuri
karibu sana
Karibuu mgeni karibuu kwenye jamvii hili la CHADEMA!! Lakini kama wewe ni CCMm ni bora utoke berenge mapema
You are really a Think Tank!!!!Kwani Ccm hawatakiwi?Mi napenda wawepo ili mshindane kwa hoja na sio vioja!Maana mkiwa Chadema hapatanoga mkubwa!Ni kama Simba au Yangu moja ikishuka daraja mpira utanoga?Ni hayo tu mkubwa.
karibu sana muheshimiwa jisikie uko nyumbani......
Haswaa maana nilikuwa na madukuduku yangu mengi tu.Lakini kuwemo humu kutanipunguzia msongo wa mawazo.
ndio maana yake.......
napenda kuuita JF mkombozi........
Karibu!
ndio maana yake.......
napenda kuuita JF mkombozi........
Kweli ukitaka ukombozi wa kifikra hapa ndio nyumbani!