Hongereni watumishi wa Mungu ujumbe umefika

Napenda hela

Member
Joined
Feb 8, 2025
Posts
32
Reaction score
51
Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo maaskofu wametoa UJUMBE wao kama viongozi wa dini,Hatuna budi walengwa kwuyafanyia kaz, wametimiza wajibu wao Kwa mungu na Kwa wananchi, na baadhi ya viongozi wa dini hasa manabii tunaomba watoe UJUMBE wa serekali wasikae kimya au wao wanaona mambo yote yapo sawa?
 
In fact,
Pasaka hii pia imesaidia pakubwa kuwajua wanafiki, wavurugaji ndoa na familia za waamini wao, na kisha kukimbilia kujificha madhabahuni na kuhubiri haki na amani kwa taifa wakati wametoka vizia na kupora haki za ndoa za waamini wao nyuma ya pazia.

Inasikitisha sana, inafedhehesha sana aise 🐒
 
Kweli kabxa WATUMISHI wengine hasa manabii wapo kimya wanasubir wawaibie waumini Hela Kwa kuwaongepea,mara maji,mara mafuta,
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo maaskofu wametoa UJUMBE wao kama viongozi wa dini,Hatuna budi walengwa kwuyafanyia kaz, wametimiza wajibu wao Kwa mungu na Kwa wananchi, na baadhi ya viongozi wa dini hasa manabii tunaomba watoe UJUMBE wa serekali wasikae kimya au wao wanaona mambo yote yapo sawa?
Nami Mtume na Nabii mtarajiwa nasema hivi:
HKi huinua Taifa bLi dham I ni aibu ya watu wote. Na UfLme wa Mungu sio kula ku na kunywa bali ni Haki Amani na furaha ktk Roho Mtzkatifu.
 
In fact,
Pasaka hii pia imesaidia pakubwa kuwajua wanafiki, wavurugaji ndoa na familia za waamini wao, na kisha kukimbilia kujificha madhabahuni na kuhubiri haki na amani kwa taifa wakati wametoka vizia na kupora haki za ndoa za waamini wao nyuma ya pazia.

Inasikitisha sana, inafedhehesha sana aise 🐒
Tuhuma nzito sana hizi
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo maaskofu wametoa UJUMBE wao kama viongozi wa dini,Hatuna budi walengwa kwuyafanyia kaz, wametimiza wajibu wao Kwa mungu na Kwa wananchi, na baadhi ya viongozi wa dini hasa manabii tunaomba watoe UJUMBE wa serekali wasikae kimya au wao wanaona mambo yote yapo sawa?
Nimefarijika sana na ushauri wenu kwa wenye Mamlaka kuhususiana na Reforms mbalimbali juu ya uchanguzi,

nina wapongeza sana, Mungu Muumba azidi kuwalinda, kutetea na kuwabarikini, kwa kukubali kuwa miongoni mwa sauti za wanyonge wasio na majukwaa katika taifa hili,

Ujumbe wenu wazee wangu bila shaka umefika je utafanyiwa kazi na walengwa?

Je kama hautafanyiwa kazi mna plan ipi wazee wangu?

Mnakumbuka swala la Bandari yetu na DPW?

ushauri wenu ulifanyiwa kazi?

Aliudharau na siku ya ku saini mikataba akasaini siku na muda ambao mpo ibadani jumapili asubuhi,

Alizidi kuwa na kisirani hata sherehe ya ufunguzi wa jengo la Ikulu Dodoma siku ilipangwa mkiwa hampo nchini mpo Vaticani,

Na kwa kujiona yeye ni mbabe kuliko nyie alikimbilia kwa Papa Francis kujikosha.

Ombi kwenu ushauri wenu huu wa awamu hii asipoufanyia kazi, tunawaomba mtuongoze njia ya kuandamana kwa AMANI kutaka katiba Mpya, Tume Huru na Reforms mbalimbali za uchanguzi, je watawaangiza polisi wawashambulie viongozi wa dini ambao nanyi ni sehemu ya raia wa Taifa hili,

Nipo tayari kuwafuata mkoa wowote kuungana nanyi kufanya maandamano ya amani.
Asanteni Sana.
 
Niende moja kwa moja kwenye mada,Leo maaskofu wametoa UJUMBE wao kama viongozi wa dini,Hatuna budi walengwa kwuyafanyia kaz, wametimiza wajibu wao Kwa mungu na Kwa wananchi, na baadhi ya viongozi wa dini hasa manabii tunaomba watoe UJUMBE wa serekali wasikae kimya au wao wanaona mambo yote yapo sawa?
Manabii wengi wamehongwa hela hawana ujasiri wa kukemea, kuonya watawala zaidi wamebaki kujipendekeza tu.
Jiulize CPCT wametoa tamko lolote?
 
Mzanzibari mwanamke hatolala, maana amepopolewa kila Kona.
 
In fact,
Pasaka hii pia imesaidia pakubwa kuwajua wanafiki, wavurugaji ndoa na familia za waamini wao, na kisha kukimbilia kujificha madhabahuni na kuhubiri haki na amani kwa taifa wakati wametoka vizia na kupora haki za ndoa za waamini wao nyuma ya pazia.

Inasikitisha sana, inafedhehesha sana aise 🐒

Watu wanaongelea maswala makubwa ya kitaifa wewe unafikiria uchi tu uvccm, ndo akili yako ilipoishia?
 
relax na mawazo yako ya kingono tu gentleman 🐒
Mie au wewe? Watu wanaongelea haki unaleta micro thinking, eti ndoa, maaskofu na viongozi wa dini wafungishe wao then wakisema haki mnaspin eti wazivunje, akili ya ngono tu uvccm, zamu hii mtakubali tu kila kete ya kichawa inaliwa juu kwa juu!
 
calm down na uepuke kuropoka,

sio makosa yako kutokujua uovu wa hao wanaojificha madhabahuni, bado mdogo, utayajua baadae.

ila nikushauri tu ukikua, usije kuthubutu kukaribisha ndani ya nyumba yako ya ndoa mtu anaitwa paroko, mchungaji, nabii au mtume, ukipuuza ni juu yako,

but ukizongatia sihitaji shukran wala sihitaji unikimbuke 🐒
 
Back
Top Bottom