Hongereni Viongozi wa Dini kwa kuusema Ukweli

Determinantor

Platinum Member
Mar 17, 2008
58,134
92,936
Wamekutanna na kuzungumzia Amani in particular Amani ya Zanzibar.
Wamesema Serikali isitumia Jeshi ili kuleta Amani, hio sio Amani, asanteni kwa umoja na mshikamano wenu. Damu yao haitadaiwa mikononi mwenu. CCM mnaweza kulichukua jambo hilo na kulifanyia kazi au kuliacha.
 
Amani na haki havitengamani..haki ikiminywa ni chanzo cha manung,uniko ambayo hupelekea uvunjifu wa Amani..
 
CCM wanacheza michezo hatari sana aiseee.

Ipo siku watu watazoea hayo mavifaru na kuyasogelea na wataanza kuyaona ya kawaida, hapo ndipo mtajua kuwa amani ya nchi hii haikujengwa kwa vitisho.
 
Afadhali wamesema kuliko wangeendelea kukaa kimya, sijui kwa nini haki za binadamu nao hawasemi chochote,
 
Back
Top Bottom