Hongereni TRA

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,519
Reaction score
40,364
Awali ya yote, nichukue fursa hii kuwakumbukusha wananchi wenzangu kulipa kodi kwa wakati kwa maendeleo ya nchi; pia niwapongeze TRA kwa mafanikio yafuatayo;
1. Kwa kuongeza makusanyo kila mwezi,
2. Kutokuwa na vyeti feki hata kimoja.
 
Aisee, ngoja waamke, mimi nakaa hapa kwenye kiti cha mbele ili niwasikilize vizuri
 
Inaashiria umakini mkubwa katika taasisi hiyo. Hongera Sana TRA
 
Wameongeza makusanyo kutoka shilingi ngapi kwenda shilingi ngapi? Unapoweka mada kwa wanaume weka na namba kutia uzito andiko lako, au kwa vile Kairuki amesema mjue kusoma na kuandika inatosha, kuhesabu sio ishu
 
Mbona inaeleweka mkuu... toka kwenye makusanyo ya bil.. kwenda tril. Lakin kama unahitaji data go to TRA website utakuta data za wanaume wenzako...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…