Hongereni sana serikali sikivu ya CCM

Hongereni sana serikali sikivu ya CCM

piper

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
3,253
Reaction score
612
Hongereni serikali sikivu ya ccm, shule zote zipo katika hali nzuri tu, hazina uchakavu hata chembe ni propaganda za upinzani kutaka kuwakosanisha na wananchi, nyie ni wapiga kazi balaa ndo maana mpo kwenye BMK mkichakalika ili kutuletea katiba iliyo bora huku mkipokea pesa kiduchu laki 3 kwa siku mkiwa mmeacha mamilioni mpokeayo kwa siku ninawapongeza sana kwa hilo, mahospitali na zahanati zetu ndo usiseme maana zimejaa madawa na vifaa tiba kedekede, wajawazito hawalali mzungu wa nne vitandani na wengine chini maana vitanda vipo vya ziada, hamna wajawazito wanaofariki kwa kukosa huduma muhimu na hilo tujipongezeni

Viongozi na familia zao huenda nje siyo kwa minajili ya kutibiwa bali kwenda kulinganisha hali za utabibu za wenzetu zilivyo chini kuliko zetu, big up kwa sana, vyuoni mikopo hutolewa kwa wingi hasa kwa watoto wa masikini na watoto wa wakubwa mara nyingi hupata asilimia 100 ili kuwafuta jasho wazee wao kwa uzalendo ulotukuka nchini, madada zetu wa chuo wanaosimama mabarabani wakati mwingine ni kwa ajili ya kutafuta tu kipato cha ziada maana boom walilopewa huishia kwenye brazilian hair na viwalo vya kukata na shoka, alama za ufaulu zimeongezwa na serikali hii sikivu kiasi kwamba mwanafunzi wa sekondari kufeli ni ndoto, hao wanaowasema ni wivu wa kike unawasumbua na mtaendelea kutawala nchi hii kwa miaka elfu na moja, hongereni sana.
 
Hongereni serikali sikivu ya ccm, shule zote zipo katika hali nzuri tu, hazina uchakavu hata chembe ni propaganda za upinzani kutaka kuwakosanisha na wananchi, nyie ni wapiga kazi balaa ndo maana mpo kwenye BMK mkichakalika ili kutuletea katiba iliyo bora huku mkipokea pesa kiduchu laki 3 kwa siku mkiwa mmeacha mamilioni mpokeayo kwa siku ninawapongeza sana kwa hilo, mahospitali na zahanati zetu ndo usiseme maana zimejaa madawa na vifaa tiba kedekede, wajawazito hawalali mzungu wa nne vitandani na wengine chini maana vitanda vipo vya ziada, hamna wajawazito wanaofariki kwa kukosa huduma muhimu na hilo tujipongeze, viongozi na familia zao huenda nje siyo kwa minajili ya kutibiwa bali kwenda kulinganisha hali za utabibu za wenzetu zilivyo chini kuliko zetu, big up kwa sana, vyuoni mikopo hutolewa kwa wingi hasa kwa watoto wa masikini na watoto wa wakubwa mara nyingi hupata asilimia 100 ili kuwafuta jasho wazee wao kwa uzalendo ulotukuka nchini, madada zetu wa chuo wanaosimama mabarabani wakati mwingine ni kwa ajili ya kutafuta tu kipato cha ziada maana boom walilopewa huishia kwenye brazilian hair na viwalo vya kukata na shoka, alama za ufaulu zimeongezwa na serikali hii sikivu kiasi kwamba mwanafunzi wa sekondari kufeli ni ndoto, hao wanaowasema ni wivu wa kike unawasumbua na mtaendelea kutawala nchi hii kwa miaka elfu na moja, hongereni sana.

watu wazima wanapofika mahala mnajigeuza kuwa watoto na vituko kwenye jamii ni shida sana endelee kujipotosha na kupotosha wasiokuwa na upeo ila siyo wenye upeo wao.
 
tgif_thumb%25255B1%25255D.jpg
 
Hahahaha hahahahaaa........... Mkuu mbavu zangu duh!
 
Hii ndio serikali bora na sikivu ambayo haijawahi kuwepo toka enzi za tanganyika big up sana.
 
Jamani fasihi ngumu sana wengine hatuelewi unaona tunavyojibu!
 
Duuh huu ujumbe mzito nadhani ccm wa jf wanauona, na kwa kweli ccm inazid kuharibu tu watu wanajenga matumbo yao, endelea kuwapa somo mkuu.
Hongera kwa kutumia lugha nzuri ya fasihi
 
Mmmmmhhh hii kali mnoo, ila ndugu gsu usiingie kichwa kichwa basi…!!!
 
Last edited by a moderator:
Kweli Ccm Sikivu kweli kweli Walimu hawadai bali wao ndio wanadai allowance za wandamanaji wa juzi hawajalipwa
 
Hongereni serikali sikivu ya ccm, shule zote zipo katika hali nzuri tu, hazina uchakavu hata chembe ni propaganda za upinzani kutaka kuwakosanisha na wananchi, nyie ni wapiga kazi balaa ndo maana mpo kwenye BMK mkichakalika ili kutuletea katiba iliyo bora huku mkipokea pesa kiduchu laki 3 kwa siku mkiwa mmeacha mamilioni mpokeayo kwa siku ninawapongeza sana kwa hilo, mahospitali na zahanati zetu ndo usiseme maana zimejaa madawa na vifaa tiba kedekede, wajawazito hawalali mzungu wa nne vitandani na wengine chini maana vitanda vipo vya ziada, hamna wajawazito wanaofariki kwa kukosa huduma muhimu na hilo tujipongezeni

Viongozi na familia zao huenda nje siyo kwa minajili ya kutibiwa bali kwenda kulinganisha hali za utabibu za wenzetu zilivyo chini kuliko zetu, big up kwa sana, vyuoni mikopo hutolewa kwa wingi hasa kwa watoto wa masikini na watoto wa wakubwa mara nyingi hupata asilimia 100 ili kuwafuta jasho wazee wao kwa uzalendo ulotukuka nchini, madada zetu wa chuo wanaosimama mabarabani wakati mwingine ni kwa ajili ya kutafuta tu kipato cha ziada maana boom walilopewa huishia kwenye brazilian hair na viwalo vya kukata na shoka, alama za ufaulu zimeongezwa na serikali hii sikivu kiasi kwamba mwanafunzi wa sekondari kufeli ni ndoto, hao wanaowasema ni wivu wa kike unawasumbua na mtaendelea kutawala nchi hii kwa miaka elfu na moja, hongereni sana.
Acha upumbavu.mafisadi wakubwa nyie unasifia ujinga.ukikua utaacha.ccm imeoza na 2015 itakuwa ni chama cha upinzani kama kilivyo udp.
 
Mkuu inatakiwa tukurudishe darasani, fasihi ilikupita kando, read between the lines.
 
Ni kweli wanasitaili ongera kwa mambo makubwa yaliyofanya na serekali sikivu ya ccm ndiyo maana uwazi na uwajibika hipo kwenye rasimu yao
 
kIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI! SISI TUNA ENJOY MAISHA BORA YALIYOLETWA NA KIKWETE.CHEZEA SISIEMU WEWE.
 
watu wazima wanapofika mahala mnajigeuza kuwa watoto na vituko kwenye jamii ni shida sana endelee kujipotosha na kupotosha wasiokuwa na upeo ila siyo wenye upeo wao.

Mkuu wewe mwelewe tu,yupo kinyumnyume.
 
Aaaaaaaaaaaaaa sana kiongozi maaana hata uku kwetu mapolice hawapigi watu virungu wakiandamana cz wamesha Ongezewa mshahara. Kumbe nimekuja kugundua kua Wale wote waliokua wanasema wamebambikiwa kesi. sio kweli ukweli kua walikua magaid kuliko walio mtoa meno Ulimboka. Hata mwangos kumbe alijilipua kwa mapenzi ya kuipenda CCM iliyo tukufu.

  • :hail:
 
Back
Top Bottom