Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,324
- 152,136
Muda huu ITV wanarusha documentary inayoonyesha nama vitendo vya kibaguzi vilivyokuwa vinafanywa na Makaburu huko Afrika ya kusini enzi zile za ubaguzi wa rangi pamoja na struggle ya watu weusi katika kupinga ubaguzi huo.
ITV kutuletea documentary hii kipindi hiki, mmethibitisha kuwa nyinyi kweli ni "Super Brand" na mnajua wajibu wenu kwa umma.
Naomba nisiseme mengi maana uhuru wa maoni siku hizi unatafsiriwa vibaya.
ITV nawashauri muirudie hii documentary mara kwa mara kadri iwezekanavyo.
Ahsanteni sana.