Hongereni sana ATCL ila fanyeni na hili

SirBonge

JF-Expert Member
Jul 18, 2010
378
435
Kongole sana kwenu kwa kurudisha na kusimamia ipasavyo safari za ndege hasa humu nchini. Ama kweli kazi yenu inaonekana.
Pamoja na hayo, au kabla ya kufikiria kuanzisha route zingine za kutokea Dar, ni vyema sasa mkaunganisha mikoa mbalimbali na kuwe na direct flights kama vile MWANZA-DODOMA, MWANZA-MBEYA, KILIMANJARO-DODOMA, DODOMA-MBEYA, MWANZA-IRINGA, KIGOMA-BUKOBA N.K., Route zote hizi na zingine kama hizo zinamlazimu mteja kukata tiketi mara mbili, kwenda Dar kwanza halafu kuelekea mkoa mwingine.
 
Hasara kwa walipa kodi mwanzo mwisho. Je, CAG Kichere ataruhusiwa kukagua financial statements za ATCL ili tujue hasara halisi ya KUKURUPUKA kununua ndege kwa trillion 3 ambazo hazina faida yoyote kwa Taifa?
Kama basi la msoma to sumbawanga linaweza kwenda na abiria kumi tu wa direct je ndege?
 
Ndege inaenda chato na abiria sita.. Nyoko we

Mpaka sasa ATCL wanaficha mahesabu yao!!! Kumbukeni ili kuficha ufisadi wao JIWE ameamuru kuwa ATCL iwe chini ya ofisi yake ili wafiche accounts zao!!
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Not daily hao walikuwa wanaenda mkulu na mchina wapo kule
Safari imezinduliwa leo mkuu na hao uliowaona kwenye picha ndio waliosafiri, hao 6 ni wa lini? au umeshajua kwamba kesho na wiki ijayo watakuwa 6?
#nonsense#
 
Hilo ni kweli kabisa. JIWE kutotaka KUUMBUKA kagoma CAG asikague FS za ATCL. Je, huu uamuzi ni kwa tija ya Watanzania? Hana mamlaka ya kuzuia hili bali ni UDIKTETA TU!
Mpaka sasa ATCL wanaficha mahesabu yao!!! Kumbukeni ili kuficha ufisadi wao JIWE ameamuru kuwa ATCL iwe chini ya ofisi yake ili wafiche accounts zao!!
 
Nmefika nyumbani ndio naona hii taarifa kwenye tv,sema ngoja nilale kwanza pakikucha ndio niangalie upya usikute ni uchovu mpaka akili inatengeneza taarifa zake za habari yenyewe
 
Hilo ni kweli kabisa. JIWE kutotaka KUUMBUKA kagoma CAG asikague FS za ATCL. Je, huu uamuzi ni kwa ya Watanzania? Hana mamlaka ya kuzuia hili bali ni UDIKTETA TU!

Bunge lina oversight authority kulazimisha kuwa CAG akague mahesabu ya ATCL; lakini kwavile Bunge chini ya uongozi wa Ndugai ni dhaifu hawawezi kutimiza wajibu wao kwa kumuogopa JIWE!!! Bunge letu ni BUTU!!!!
 
Bunge HARAMU Mkuu Bulesi.
Bunge lina oversight authority kulazimisha kuwa CAG akague mahesabu ya ATCL; lakini kwavile Bunge chini ya uongozi wa Ndugai ni dhaifu hawawezi kutimiza wajibu wao kwa kumuogopa JIWE!!! Bunge letu ni BUTU!!!!
 
Back
Top Bottom