Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 51,096
- 122,459
Hahhaaa. Si kwa kutonesha kidonda changu Mtani wakati kimeshapona.Daah mtani mmeniangusha sana![]()
![]()
Ndio hivyo mtani siku zote penalti kwetu limekuwa gonjwa sugu.
Hahhaaa. Si kwa kutonesha kidonda changu Mtani wakati kimeshapona.Daah mtani mmeniangusha sana![]()
![]()
Mjipange tu, hakuna namna.Hahhaaa. Si kwa kutonesha kidonda changu Mtani wakati kimeshapona.
Ndio hivyo mtani siku zote penalti kwetu limekuwa gonjwa sugu.
Hoooooooo...!Daah mtani mmeniangusha sana![]()
![]()
Mmerudi kwenye nafasi yenu.Hahaaa. Umeonaeeee. Huo ndio ukweli halisi.
Anakutania tu.Hahahaaaaaa. Lol.
Mtani umeshasahau tayari . Mmmhh
Ha ha ha ha...umeua mkuu.Naona yeboyebo hapo kupanda ndege mpaka 2019 maana ligi kuu ni ya simba