Hahahaaa!we jamaa kama umekurupuka hivi!Mimi kuna jamaa namfahamu kabisa(kwa sasa ni dokta) asee huyu jamaa nlisoma shule ya msingi hakuwahi kuwepo hata kwny ishirini bora kwa kifupi alikuwa kilaza pamoja na kwamba pesa ipo,wakati wenzake tunafaulu kwenda Azaboy enzi zile kwakuwa kwao mpunga upo akapelekwa private sec school(hata sec yenyewe alopelekwa ni ya vilaza vile vile), jamaa akamaliza akaenda kusoma udaktari kwenye chuo cha vilaza na sasa hivi ni dokta kilaza, I dare to say that!Kwa hyo jamaa futa kauli yako,kuwa madaktari wote walikuwa wanakimbiza shule!!Waliokuwa vizuri tunawajua na vilaza tunawajua!Nazungumzia madaktari wenye degree ya udaktari MD not clinical officers
Taaluma ya udaktari ndio taaluma yenye heshima na yenye kusifika dunian.
Bila shaka kila mmoja wenu alishawai kua na ndoto za kuja kua daktari au wazazi wake walikua na ndoto hiyo juu yake au yeye mwenyewe anataman watoto wake waje kua madaktari ..
Hii sio tuu kutamani kua madaktari rahasha bali walitaman wawe na akili shulen kwani huwez kuja kua daktari kama huna akili darasani, ni 100% kua kila alie daktari basi anahistori ya kua namba moja au kua top three katika darasa either primary au secondary au chuo hakuna daktari ambae hajawai kua kichwa cha darasa...
Imshort huwez kua daktari kama ulikua low score baby never ,huwez kua daktari kama uliwai kuugua utapiamlo utotoni ...
Ata uwe professor wa sheria au uchumi ukikutana na daktari mwenye degree moja tuu ya MD lazima heshima iwepo
Popote mlipo madaktari agizeni vinywaji nakuja kulipia
NB: povu ruksa kwa wale ma- low score baby
Na wale mliowai kuugua utapiamlo...
sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
Hahahaha we jamaa kwan Wewe hukuwai kutaman kua daktari??Safi sana hakuna Dk kilaza bt ilikua wakati ule kwa sasa wapo vilaza sana yaani walilazimisha kupitia vichuo hivi vya private.
Kuna jamaa tulimaliza nao walipata PCB division 3 ya 15 wakaenda kusoma sijui foundation course pale CUHAS nasikia kwa sasa ni madaktari mie nilitoka na ka division kangu nikatemwa pale Muhimbili,nikaamua kuachana na udaktari maana niliona km naforce sana halafu kana kwamba hakuna career zingine.
Niliingia kubwa la maadua SUA,nikapiga FST yangu pale,ninapiga niko Ruaha napiga kilimo kiroho safi tu na kamshahara kazuri tu sehemu zingine za mishe zangu.
Kifupi napambana na hali yangu vzuri sana na kuna madaktari vilaza wako mtaani tu
Hahahaha nafanya mazoez ya kusifia wamamaHahaha! Mimi umenifurahisha ulivyosifia tu kwa maneno chonganishi.
Naamini ukimupata mwanamama mwenye sura nzito atajiona kama Priyanka Chopra.
Hongereni madaktari!!
Chuo gani cha madaktari vilaza Mkuu!!! TaarifaHahahaaa!we jamaa kama umekurupuka hivi!Mimi kuna jamaa namfahamu kabisa(kwa sasa ni dokta) asee huyu jamaa nlisoma shule ya msingi hakuwahi kuwepo hata kwny ishirini bora kwa kifupi alikuwa kilaza pamoja na kwamba pesa ipo,wakati wenzake tunafaulu kwenda Azaboy enzi zile kwakuwa kwao mpunga upo akapelekwa private sec school(hata sec yenyewe alopelekwa ni ya vilaza vile vile), jamaa akamaliza akaenda kusoma udaktari kwenye chuo cha vilaza na sasa hivi ni dokta kilaza, I dare to say that!Kwa hyo jamaa futa kauli yako,kuwa madaktari wote walikuwa wanakimbiza shule!!Waliokuwa vizuri tunawajua na vilaza tunawajua!
Sikiliza Toka Kwangu!
Hahaha! Mimi umenifurahisha ulivyosifia tu kwa maneno chonganishi.
Naamini ukimupata mwanamama mwenye sura nzito atajiona kama Priyanka Chopra.
Hongereni madaktari!!
Siku hizi jamii forum imejaa watoto wengi halafu kibaya zaidi hawataki kuwa wa kujifunza kutoka Kwa great thinkers ndio maana JF imekuwa ya kiwango cha chini sana kulinganisha na zamani. Eti huyu naye ni mwana JF!?! shame on you!Nazungumzia madaktari wenye degree ya udaktari MD not clinical officers
Taaluma ya udaktari ndio taaluma yenye heshima na yenye kusifika dunian.
Bila shaka kila mmoja wenu alishawai kua na ndoto za kuja kua daktari au wazazi wake walikua na ndoto hiyo juu yake au yeye mwenyewe anataman watoto wake waje kua madaktari ..
Hii sio tuu kutamani kua madaktari rahasha bali walitaman wawe na akili shulen kwani huwez kuja kua daktari kama huna akili darasani, ni 100% kua kila alie daktari basi anahistori ya kua namba moja au kua top three katika darasa either primary au secondary au chuo hakuna daktari ambae hajawai kua kichwa cha darasa...
Imshort huwez kua daktari kama ulikua low score baby never ,huwez kua daktari kama uliwai kuugua utapiamlo utotoni ...
Ata uwe professor wa sheria au uchumi ukikutana na daktari mwenye degree moja tuu ya MD lazima heshima iwepo
Popote mlipo madaktari agizeni vinywaji nakuja kulipia
NB: povu ruksa kwa wale ma- low score baby
Na wale mliowai kuugua utapiamlo...
sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
Acha kudhalilisha CUHAS wewe! Waulize wanaosoma CUHAS wanavyohenyeshwaHahahaha we jamaa kwan Wewe hukuwai kutaman kua daktari??
sent from my iPhone 7 using jamiiForums mobile app
Hehehahahaha eti Priyanka Chopra !lol!
Hehe
Unamfahamu Priyanka Chopra...?
ndo maana nimeshangaa men ajue hili jina! namfaham!