Tanzania Salesman Member May 25, 2017 12 3 May 29, 2017 #1 Yote kwa yote ligi mbalimbali duniani kote zimefikia tamati na mabingwa kupatikana. Napenda kutoa pongezi zangu kwa Arsenal Na Simba kufanikiwa kushinda ubingwa wa FA, kila la heri kwenu na sasa mjipange vizuri kwa msimu ujao wa ligi.
Yote kwa yote ligi mbalimbali duniani kote zimefikia tamati na mabingwa kupatikana. Napenda kutoa pongezi zangu kwa Arsenal Na Simba kufanikiwa kushinda ubingwa wa FA, kila la heri kwenu na sasa mjipange vizuri kwa msimu ujao wa ligi.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,991 69,386 May 29, 2017 #2 Kabisaa wajipange kwa maana ligi ya msimu ujao very challenging
Tanzania Salesman Member May 25, 2017 12 3 May 29, 2017 Thread starter #3 Joseverest said: Kabisaa wajipange kwa maana ligi ya msimu ujao very challenging Click to expand... Ushauri wangu kwa timu zote mbili ziongeze viungo washambuliaji, ila pia wasibadili makocha katikati ya msimu.
Joseverest said: Kabisaa wajipange kwa maana ligi ya msimu ujao very challenging Click to expand... Ushauri wangu kwa timu zote mbili ziongeze viungo washambuliaji, ila pia wasibadili makocha katikati ya msimu.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 51,991 69,386 May 29, 2017 #4 Tanzania Salesman said: Ushauri wangu kwa timu zote mbili ziongeze viungo washambuliaji, ila pia wasibadili makocha katikati ya msimu. Click to expand... umeona eee..ila pale Arsenal mzee amekalia kuti kavu mkuu
Tanzania Salesman said: Ushauri wangu kwa timu zote mbili ziongeze viungo washambuliaji, ila pia wasibadili makocha katikati ya msimu. Click to expand... umeona eee..ila pale Arsenal mzee amekalia kuti kavu mkuu
R rodrick alexander JF-Expert Member Feb 12, 2012 15,204 20,182 Jul 26, 2020 #6 Utopolo njooni muangalie marudio ya mechi azam tv labda mtasawazisha