Hongereni HELSB 2015/16

Hongereni HELSB 2015/16

mnakuja kuzilipa hizo vijana ...wadogo zenu wasome... hongereni
 
Wameongeza buku tu....wanashmdwa nini kufikisha mwekundu.?
 
Huo mkwanja upo kwenye makaratasi unapendeza sana.Utata ni hadi huo mpunga ufike vyuoni

Ndugu zangu wa Udom ndio huwa wanatolewa kafara mara kwa mara.

Tujipangeni
 
Huu ni mwaka wa uchaguzi lazma wafanye hivyo,unashindwa hata kujiongeza kujua ki2 kidogo kama hicho.!
Kumbuka mwaka 2010 ilikuwaje.
mkuu mm nilikua form 2. nlikua sijui kitu kuhusu mkopo sasa nimamaliza na nimepangiwa chuo degree level. naomba uniambie ilikuaje unisaidie kidogo
 
Jaman huu mwaka kuna mkopo kweli? mbona kuna vyuo kma mwenge wanaripot 28/10 na mpaka xaxa hamna majina ya mikopo? mbona miaka ya nyuma mambo hayajawa magum hv? mara tcu raund ya 4 na bado wki mja wa2 waende chuo,mi kuna jins celewi au ndio siasa?
 
siasa na elimu ni hatar nchi hii haijali mtu wa chini kabisa we fikiria watu wanategemea kuripoti na hela wanazotegemea ni hesleb sas wafanyeje jaman waoneeni huruma nso ni watanxania we unafikiri mtu ataenda kuripot bila kuwa na uhakika na mkopo huo never ever
 
Back
Top Bottom