Lakini malaika wameupokea
Lakini malaika wameupokea
Anzisha mada yako kuhusu hilo, hii ni ya kuwapongeza kuhusu kazi ya leo mwananyamala hospital
Waache unafiki. Hakuna mtu anataka msaada wa shetani.
chadema ndio chama pekee chenye uzalendo nchiniNilikuwa mwananyamala hospital Leo hii nimekutana na makamanda wa CDM, wameenda pale kufanya shughuli za kijamii pamoja na kutoa misaada mbalimbali ya sabuni, juice nk kwa wagonjwa
Walianza na shughuli za kutoa misaada, mpaka naondoka eneo la hospital walikuwa wanaendelea na usafi ndani ya maeneo ya hospital
Napenda kuwapongeza mno na kuzidi kuwatia moyo hata kwa hili pia...misaada waliyotoa hawakubagua kabila, jinsia, rangi, itikadi wala imani ya MTU
VIVA CHADEMA!!! VIVA COMRADES...!!!
mbona wale wahanga na wajane wa mabomu soweto arusha wamewatelekeza?
mke wa chacha wangwe. mwangosi chadema wamewatelekeza bila msaada wowote
Nilikuwa mwananyamala hospital Leo hii nimekutana na makamanda wa CDM, wameenda pale kufanya shughuli za kijamii pamoja na kutoa misaada mbalimbali ya sabuni, juice nk kwa wagonjwa
Walianza na shughuli za kutoa misaada, mpaka naondoka eneo la hospital walikuwa wanaendelea na usafi ndani ya maeneo ya hospital
Napenda kuwapongeza mno na kuzidi kuwatia moyo hata kwa hili pia...misaada waliyotoa hawakubagua kabila, jinsia, rangi, itikadi wala imani ya MTU
VIVA CHADEMA!!! VIVA COMRADES...!!!
Hapa sio mahali pake
Wewe si mmoja wetu kwahiyo hata kukujibu is a big wastage
laki si pesa utaangaika sana.