Petro E. Mselewa
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 10,197
- 25,517
Huko siku hizi hakuna shamra shamra, pesa imepotea, wafadhili wamenuna. Hawataki kuomba kibali cha kuandamana ili isije ikawa sababu na wengine nao kuomba.Niliposema humu kuwa:CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini nilimaanisha. Nashukuru kuwa CCM mlinielewa na mmeufanyia kazi ushauri wangu.
Hadi sasa, kama chama, mmejitenga mbali na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake katika kulinda rasilimali za Tanzania, hasa madini. Mmetambua kuwa nyinyi ndiyo wakosaji wa kwanza na hamna moral authority ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli.
Kama CCM, mmezidiwa kete hata na Bunge ambalo limejitokeza kumpongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa juhudi za dhati za kulinda rasilimali zetu kama nchi. Hadi sasa, CCM hamkutoa taarifa rasmi ya kumpongeza Rais. Hakika, mmefanya vyema.
Mmejitambua na kuyatambua makosa yenu. Kama chama, majuto yenu yanaonyeshwa na ukimya wenu katika kinachoendelea. Kudos CCM kwa ukomavu wa kisiasa mliouonyesha!
Hukusikia Tamko la PolePole few weeks ago?Niliposema humu kuwa:CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini nilimaanisha. Nashukuru kuwa CCM mlinielewa na mmeufanyia kazi ushauri wangu.
Hadi sasa, kama chama, mmejitenga mbali na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake katika kulinda rasilimali za Tanzania, hasa madini. Mmetambua kuwa nyinyi ndiyo wakosaji wa kwanza na hamna moral authority ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli.
Kama CCM, mmezidiwa kete hata na Bunge ambalo limejitokeza kumpongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa juhudi za dhati za kulinda rasilimali zetu kama nchi. Hadi sasa, CCM hamkutoa taarifa rasmi ya kumpongeza Rais. Hakika, mmefanya vyema.
Mmejitambua na kuyatambua makosa yenu. Kama chama, majuto yenu yanaonyeshwa na ukimya wenu katika kinachoendelea. Kudos CCM kwa ukomavu wa kisiasa mliouonyesha!
Petro, acha that much shallow analysis, unless kama unawakejeli. Kama ndivyo unavyomaanisha, Petro, watu wanasoma unachokiandika na wewe being a verified user! Mtu kama wewe tunakufuatilia sana kuona how capable of analyzing issues (mnasema kukata issues), au unasema kinyume nyume! Tunategemea mwanasheria, wakili vitu vikali toka kwako, usifanye hivyo please. Enjoy your day!Niliposema humu kuwa:CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini nilimaanisha. Nashukuru kuwa CCM mlinielewa na mmeufanyia kazi ushauri wangu.
Hadi sasa, kama chama, mmejitenga mbali na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake katika kulinda rasilimali za Tanzania, hasa madini. Mmetambua kuwa nyinyi ndiyo wakosaji wa kwanza na hamna moral authority ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli.
Kama CCM, mmezidiwa kete hata na Bunge ambalo limejitokeza kumpongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa juhudi za dhati za kulinda rasilimali zetu kama nchi. Hadi sasa, CCM hamkutoa taarifa rasmi ya kumpongeza Rais. Hakika, mmefanya vyema.
Mmejitambua na kuyatambua makosa yenu. Kama chama, majuto yenu yanaonyeshwa na ukimya wenu katika kinachoendelea. Kudos CCM kwa ukomavu wa kisiasa mliouonyesha!
Kwani CCM ni Wabunge wa CCM? Jiongeze!Lakini hiyo hoja ya kumpongeza rais bungeni imebebwa kwa kiasi kikubwa na wabunge wa CCM. Na jemedari wa vita hii ya ukombozi wa kiuchumi ndio mwenye kiti wa CCM.
Mkuu labda ufunguke zaidi unaizungumzia CCM ipi haswa?
Hebu soma tena Mkuu, waweza kubadili mtazamo wako juu yangu.Petro, acha that much shallow analysis, unless kama unawakejeli. Kama ndivyo unavyomaanisha, Petro, watu wanasoma unachokiandika na wewe being a verified user! Mtu kama wewe tunakufuatilia sana kuona how capable of analyzing issues (mnasema kukata issues), au unasema kinyume nyume! Tunategemea mwanasheria, wakili vitu vikali toka kwako, usifanye hivyo please. Enjoy your day!
Polepole alishaongea mara tu baada ya kamati ya kwanza kuwasilisha report yao!!Niliposema humu kuwa:CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini nilimaanisha. Nashukuru kuwa CCM mlinielewa na mmeufanyia kazi ushauri wangu.
Hadi sasa, kama chama, mmejitenga mbali na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake katika kulinda rasilimali za Tanzania, hasa madini. Mmetambua kuwa nyinyi ndiyo wakosaji wa kwanza na hamna moral authority ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli.
Kama CCM, mmezidiwa kete hata na Bunge ambalo limejitokeza kumpongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa juhudi za dhati za kulinda rasilimali zetu kama nchi. Hadi sasa, CCM hamkutoa taarifa rasmi ya kumpongeza Rais. Hakika, mmefanya vyema.
Mmejitambua na kuyatambua makosa yenu. Kama chama, majuto yenu yanaonyeshwa na ukimya wenu katika kinachoendelea. Kudos CCM kwa ukomavu wa kisiasa mliouonyesha!
Niliposema humu kuwa:CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini nilimaanisha. Nashukuru kuwa CCM mlinielewa na mmeufanyia kazi ushauri wangu.
Hadi sasa, kama chama, mmejitenga mbali na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake katika kulinda rasilimali za Tanzania, hasa madini. Mmetambua kuwa nyinyi ndiyo wakosaji wa kwanza na hamna moral authority ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli.
Kama CCM, mmezidiwa kete hata na Bunge ambalo limejitokeza kumpongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa juhudi za dhati za kulinda rasilimali zetu kama nchi. Hadi sasa, CCM hamkutoa taarifa rasmi ya kumpongeza Rais. Hakika, mmefanya vyema.
Mmejitambua na kuyatambua makosa yenu. Kama chama, majuto yenu yanaonyeshwa na ukimya wenu katika kinachoendelea. Kudos CCM kwa ukomavu wa kisiasa mliouonyesha!
Mwenyekiti ndiye hutoa kauli/matamko ya chama? JiongezeMwenyekiti wa ccm taifa ni Mh. John Maghufuli, ni vigumu kutenganisha mwenyekiti na chama anachokiongoza.
Sidhani kama wamejitenga, wanafiki, mbona wanapongeza, ila maandamano ndiyo bado.Huyu Wa wazazi si umemsikia alivyopongeza kwa niaba!Hebu soma tena Mkuu, waweza kubadili mtazamo wako juu yangu.