Hongereni CCM, katika hili mmeonyesha ukomavu wa kisiasa

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Dec 27, 2012
10,174
25,446
Niliposema humu kuwa:CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini nilimaanisha. Nashukuru kuwa CCM mlinielewa na mmeufanyia kazi ushauri wangu.

Hadi sasa, kama chama, mmejitenga mbali na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake katika kulinda rasilimali za Tanzania, hasa madini. Mmetambua kuwa nyinyi ndiyo wakosaji wa kwanza na hamna moral authority ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli.

Kama CCM, mmezidiwa kete hata na Bunge ambalo limejitokeza kumpongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa juhudi za dhati za kulinda rasilimali zetu kama nchi. Hadi sasa, CCM hamkutoa taarifa rasmi ya kumpongeza Rais. Hakika, mmefanya vyema.

Mmejitambua na kuyatambua makosa yenu. Kama chama, majuto yenu yanaonyeshwa na ukimya wenu katika kinachoendelea. Kudos CCM kwa ukomavu wa kisiasa mliouonyesha!
 
Huko siku hizi hakuna shamra shamra, pesa imepotea, wafadhili wamenuna. Hawataki kuomba kibali cha kuandamana ili isije ikawa sababu na wengine nao kuomba.
 
Chama mufilisi hicho..

Hakuna mratibu wa CCM aliye active siku hizi..

Kinana body language inakuonyesha yupo pale kimwili tu, akili haipo kwenye CCM kama pale mwanzoni..

Polepole ni hopeless and bogus, hajui atendalo.
 
Niliposema humu kuwa:CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini nilimaanisha. Nashukuru kuwa CCM mlinielewa na mmeufanyia kazi ushauri wangu.

Hadi sasa, kama chama, mmejitenga mbali na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake katika kulinda rasilimali za Tanzania, hasa madini. Mmetambua kuwa nyinyi ndiyo wakosaji wa kwanza na hamna moral authority ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli.

Kama CCM, mmezidiwa kete hata na Bunge ambalo limejitokeza kumpongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa juhudi za dhati za kulinda rasilimali zetu kama nchi. Hadi sasa, CCM hamkutoa taarifa rasmi ya kumpongeza Rais. Hakika, mmefanya vyema.

Mmejitambua na kuyatambua makosa yenu. Kama chama, majuto yenu yanaonyeshwa na ukimya wenu katika kinachoendelea. Kudos CCM kwa ukomavu wa kisiasa mliouonyesha!
Hukusikia Tamko la PolePole few weeks ago?

Wewe ni sehemu ya wale wanasheria mliotumia fedha za serikali vibaya kwa kuwasomesha
 
Lakini hiyo hoja ya kumpongeza rais bungeni imebebwa kwa kiasi kikubwa na wabunge wa CCM. Na jemedari wa vita hii ya ukombozi wa kiuchumi ndio mwenye kiti wa CCM.

Mkuu labda ufunguke zaidi unaizungumzia CCM ipi haswa?
 
Niliposema humu kuwa:CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini nilimaanisha. Nashukuru kuwa CCM mlinielewa na mmeufanyia kazi ushauri wangu.

Hadi sasa, kama chama, mmejitenga mbali na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake katika kulinda rasilimali za Tanzania, hasa madini. Mmetambua kuwa nyinyi ndiyo wakosaji wa kwanza na hamna moral authority ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli.

Kama CCM, mmezidiwa kete hata na Bunge ambalo limejitokeza kumpongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa juhudi za dhati za kulinda rasilimali zetu kama nchi. Hadi sasa, CCM hamkutoa taarifa rasmi ya kumpongeza Rais. Hakika, mmefanya vyema.

Mmejitambua na kuyatambua makosa yenu. Kama chama, majuto yenu yanaonyeshwa na ukimya wenu katika kinachoendelea. Kudos CCM kwa ukomavu wa kisiasa mliouonyesha!
Petro, acha that much shallow analysis, unless kama unawakejeli. Kama ndivyo unavyomaanisha, Petro, watu wanasoma unachokiandika na wewe being a verified user! Mtu kama wewe tunakufuatilia sana kuona how capable of analyzing issues (mnasema kukata issues), au unasema kinyume nyume! Tunategemea mwanasheria, wakili vitu vikali toka kwako, usifanye hivyo please. Enjoy your day!
 
Kwani CCM ni Wabunge wa CCM? Jiongeze!
 
Petro, acha that much shallow analysis, unless kama unawakejeli. Kama ndivyo unavyomaanisha, Petro, watu wanasoma unachokiandika na wewe being a verified user! Mtu kama wewe tunakufuatilia sana kuona how capable of analyzing issues (mnasema kukata issues), au unasema kinyume nyume! Tunategemea mwanasheria, wakili vitu vikali toka kwako, usifanye hivyo please. Enjoy your day!
Hebu soma tena Mkuu, waweza kubadili mtazamo wako juu yangu.
 
Niliposema humu kuwa:CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini nilimaanisha. Nashukuru kuwa CCM mlinielewa na mmeufanyia kazi ushauri wangu.

Hadi sasa, kama chama, mmejitenga mbali na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake katika kulinda rasilimali za Tanzania, hasa madini. Mmetambua kuwa nyinyi ndiyo wakosaji wa kwanza na hamna moral authority ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli.

Kama CCM, mmezidiwa kete hata na Bunge ambalo limejitokeza kumpongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa juhudi za dhati za kulinda rasilimali zetu kama nchi. Hadi sasa, CCM hamkutoa taarifa rasmi ya kumpongeza Rais. Hakika, mmefanya vyema.

Mmejitambua na kuyatambua makosa yenu. Kama chama, majuto yenu yanaonyeshwa na ukimya wenu katika kinachoendelea. Kudos CCM kwa ukomavu wa kisiasa mliouonyesha!
Polepole alishaongea mara tu baada ya kamati ya kwanza kuwasilisha report yao!!
Ni chadema pekee ndo hawaungi mkono hizi juhudi.
 
Mnapongezana kwenye wizi, nyinyi wenyewe ndo wapitisha sera, nyinyi hao hao ndo walalamikaji kuwa mnaibiwa , leo mnajipongeza na kutaka kuandamana, muelewe kuwa hatudanganyiki ng'o
 
Niliposema humu kuwa:CCM hamna sifa ya kumuunga mkono Rais Magufuli katika suala la madini nilimaanisha. Nashukuru kuwa CCM mlinielewa na mmeufanyia kazi ushauri wangu.

Hadi sasa, kama chama, mmejitenga mbali na utendaji wa Rais Magufuli na Serikali yake katika kulinda rasilimali za Tanzania, hasa madini. Mmetambua kuwa nyinyi ndiyo wakosaji wa kwanza na hamna moral authority ya kupongeza juhudi za Rais Magufuli.

Kama CCM, mmezidiwa kete hata na Bunge ambalo limejitokeza kumpongeza Rais Magufuli na Serikali yake kwa juhudi za dhati za kulinda rasilimali zetu kama nchi. Hadi sasa, CCM hamkutoa taarifa rasmi ya kumpongeza Rais. Hakika, mmefanya vyema.

Mmejitambua na kuyatambua makosa yenu. Kama chama, majuto yenu yanaonyeshwa na ukimya wenu katika kinachoendelea. Kudos CCM kwa ukomavu wa kisiasa mliouonyesha!

wewe naweeee...unataka kupongezana tu...ili iweje
 
Mwenyekiti wa ccm taifa ni Mh. John Maghufuli, ni vigumu kutenganisha mwenyekiti na chama anachokiongoza.
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom