mbona alipokuwa chadema hapo kigoma kaskazini alishindwa kuchukua hivyo viti
Mbona hamumpi hongera Livingstone lusinde???
mbona alipokuwa chadema hapo kigoma kaskazini alishindwa kuchukua hivyo viti
Aliweka wagombea nchi nzima....
Kina kala Pina
Machemli alipata kura 1810
Nikweli mkuu pia wametangaza chama nchi nzima?.
Hawakufanikiwa kujiunga ukawa lakin wana mbunge 1 na madiwani zaidi ya 30.
Uchaguzi huu ACT imefanikiwa kimkakati na kimatokeo kuliko NCCR iliyokuwa ndani ya Ukawa.
cdm hahahahaaaaa mmeaibika sana ayaaaaa
Wagombea 190+ Nchi nzima kaambulia yeye tu kwasabu sio mpinzani kapata back-up ya NEC ndio maana kajitangaza kashinda saa 11 Jioni,hakukuwa na mizengwe Kama kwa kina Hasanali,mbagala,wenje,kawe hamjiulizi? Zitto sio mpinzani.
zitto ni sawa na wabunge 34 wa chadema. mpumbavu na lofa ndo atabisha. maana malofa chagadema kwa ubishi.
murifikilia nyie ni mungu? eti mka mfukuza ubunge. sasa karudi kwa jeuri msipambane na mungu chagadema
Pia tambua amewazid wagombea wengine zaidi ya kura elfu kumi na nne.
Matokeo yake hayakuwa na utata mana hayachakachuliki.