Hongera Zitto kwa kuwa msomaji wa vitabu; only that will shape you!!!.

Mlalila

Member
Nov 19, 2011
35
17
Wadau, nimpongeze zitto kwa kusoma vitabu kama list hapo chini ilivo. Kwa sasa viongozi wengi serikalini hata ktk vyama vya siasa ni waropokaji wala hawasomi vitabu ili kuongeza maarifa.

Nape, mwigulu na wengineo igeni mtaumbuka!!!!!!!

Take it from Zitto

Books I have read in 2012 – Zitto Kabwe

  1. Mother India : A political biography of Indira Gandhi – Pranay Gupte
  2. The Assassination of Lumumba – Ludo De Witte
  3. The Malay Dilemma – Mahathir Mohamad
  4. The Correct Line? Uganda under Museveni – Olive Kobusingye
  5. Start with Why: How great leaders inspire every one to take action – Simon Sinek
  6. Game Change - J Heilemann and M Halperin
  7. Everyday Coruption and the State – G Blundo and J – P Olivier de Sardan
  8. Defeating Dictators: fighting tyranny in Africa and around the world – G Ayittey
  9. India’s Economy : Performances and challenges – S Acharya and R Mohan (ed)
  10. The Shadow World: Inside the Global Arms Trade – Andrew Feinstein
  11. Historia ya Mwalimu Nyerere na maisha yangu katika Utumishi wa Umma-Pius Msekwa
  12. The New Machiavell: How to wield Power in the modern world – Jonathan Powell
  13. The Oil Kings: How the US, Iran and Saudi Arabia changed the balance of power in the Middle East – Andrew Scott Cooper
  14. Dreams that matter: Egyptian Landscapes of the Imagination – Amira Mittermaier
  15. Kenya: Between Hope and Despair, 1963 – 2011- Daniel Branch
  16. How to win an election: An Ancient Guide for modern politicians – Quintus Tullius Cicero
  17. Dictator’s learning curve: Inside the battle for democracy – W Dobson
  18. Eight Days in September: The removal of Thabo Mbeki – Frank Chikane
  19. End Game: Secret Talks and the end of Apartheid – W Esterhuyse
  20. Africa’s Odius Debts: How foreign loans and capital flight bled a continent – L Ndikumana and J Boyce
  21. Treasure Islands: Tax Havens and the men who stole the world – N Shaxson
  22. La Roja: A journey through Spanish Football – J Burns
  23. The Open sore of a continent: a personal narartive of the Nigerian crisis- Wole Soyinka
  24. How Rich countries got rich….and Why Poor countries stay poor – Erik Reinert
  25. Why Nations Fail: The origins of Power,prosperity and poverty – D Acemoglu and J Robinson
  26. Why Africa fails: the case of growth before democracy – E Kamugisha
  27. The Oil Curse: How Petroleum wealth shapes development of Nations – M Ross
  28. Radio Congo: signals of hope from Africa’s deadliest war – B Rawlence
  29. Che in Africa: Che Guevara’s Congo Diary – W Galves
  30. S for Samora: a lexical biography of Samora Machel (still reading)
  31. Antihills of the Savannah (still reading)
 
Mzazi wangu mmoja alisha wahi kuniambia "ukisoma vitabu ni sawa na kukutana na hao walio viandika, wao wana kuongelesha hekima na busara zao wewe unawasikiliza na kujifunza huku ubongo wako ukinenepa".

Nimekuwa nasoma vitabu ili nikutane na watu kupitia hekima na busara zao kwenye maandishi. Nawaomba msio kuwa na utamaduni wa kusoma vitabu mjifunze kusoma walau kitabu kimoja kwa mwezi, inajenga sana na kupanua maarifa.

Kwa mwaka 2012 Zk amekutana na watu 28 kwenye vitabu, mimi nimekutana na watu 11. Kila mmoja ana unique character zake.
 
His selection approach ndio iko interesting zaidi.
Amesoma kitabu kimeandikwa na Pius msekwa, au sio huyu wa CCM, maana duniani wawili wawili.
 
Viongozi wengi pamoja na wanasiasa wa siku hizi ni wazembe kusoma vitabu na kupata hekima ya wale waliotutangulia!ni wachache wenye kuelewa dhima ya mwandishi husika na kuchukulia kwa vitendo yale yaliyoandikwa.

Wengi wanafanya mambo bila kufuata misingi imara ya uongozi iliyowekwa na viongozi wetu km Nyerere & etl!

Ndo hao wasiokuwa na hoja majukwaani na badala ya kuwaeleza wananchi juu ya mambo yenye staha,wao wanabaki kuwatukana wengine na kuwa kashifu majukwaan(Mwingulu, Nape &etl).

Zito umeonesha njia!Hongera!Wengine waige mfano huo ili hata wawe na chakuongea majukwaani.
 
Naomba nischangie kitu kwani kila ninapoona Zitto tu basi naishiwa nguvu.
 
Sijawahi kuna na wasiwasi na weledi wa Zitto kabwe jamaa ana akili sana na maarifa mengi wasiwasi wangu kwake ni uzalendo tu na ambao hauletwi kwa kusoma vitabu
 
ukitazama kwa makini usomaji wa vitabu unampa nafasi nzuri Zitto katika kujenga hoja.
ukitazama hoja za January Makamba zilivyo dhaifu ni dhahiri amejaza vitabu kwenye shelfu kwa ajili ya kupigia picha.
 
Last edited by a moderator:
Muulizeni na best yake ZZK anaitwa JK amesoma kitabu gani tangu awe Naibu Waziri hadi leo?zaidi ya Ijumaa ze weekender!!
 
"For Those Who Want To Lead, Read" [John Coleman, Harvard Business Review];
 
Suala sio mtu umesoma vitabu vingapi bali umepata nini kutoka kwenye hivyo vitabu? Kwa jinsi Zitto anavyojenga hoja zake especially kwenye suala la urais sidhani kama hivyo vitabu vimemsaidia.
 
Kusoma vitabu hata viwe mia haisaidii kama havitatransform matendo yako yawe moral acceptable...angesoma hata kimoja tuu kikamsaidia na akasaidia watz ningemsifu, alivyosoma vinamsaidia yeye binafsi.
 
Mzazi wangu mmoja alisha wahi kuniambia "ukisoma vitabu ni sawa na kukutana na hao walio viandika, wao wana kuongelesha hekima na busara zao wewe unawasikiliza na kujifunza huku ubongo wako ukinenepa".

Nimekuwa nasoma vitabu ili nikutane na watu kupitia hekima na busara zao kwenye maandishi. Nawaomba msio kuwa na utamaduni wa kusoma vitabu mjifunze kusoma walau kitabu kimoja kwa mwezi, inajenga sana na kupanua maarifa.

Kwa mwaka 2012 Zk amekutana na watu 28 kwenye vitabu, mimi nimekutana na watu 11. Kila mmoja ana unique character zake.

Hekima hii....mimi huwa nasema nasafiri kupitia vitabu...Sasa nasoma kuhusu reincarnation (La réincarnation - Jean Vernette )...yani nimesafiri mpaka miaka mingi kabla ya kristo nakutana na Buddha na busara zake nk

Nawasikitikia vijana na facebook yao....
 
Hongera zake tena sana, binafsi 2012 sikuwahi kukosa nakala za magazeti ya Risasi, Uwazi, Sani na Ijumaa.
 
Back
Top Bottom