Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,808
- 2,911
Nichukue fursa hii kumpongeza mhe Zito Z. Kabwe mbunge wa kupitia ACT wazalendo kwa kuwa mjanja kuwakwepa Polisi baada ya mkutano huko Isagehe Kahama Shinyanga. Kuna mambo machache ya kujiuliza kama sio wewe walikulenga kwa nini polisi wafanye hivi???
1. Polisi kuja na Defender nne zikiwa na polisi wakiwa wamejaa kuja eneo ulipokuwepo. Swali je kulikuwa na tukio la ujambazi??(maneno haya kayasema dereva wake)
2. Kusingizia Gari haina vibali, unajiuliza gari ilipita kote huko bila kuzuiliwa kwamba haina vibali?? Huo nao ni usanii kwa nini akamatiwe kwenye kampeni tuu na sio kuitwa aende tuu kituoni?? Kuna jambo nyuma ya pazia
3. Kuandikishwa maelezo mara mbili, mtakumbuka dereva anasema maelezo mara mbili na kesho yake kuachiliwa. Tatizo sio gari ni wewe Kabwe ulikuwa ukisakwa.
4. Polisi wanasema walipewa Taarifa kuwa gari ina vibali ambavyo sio halali swali, je leo ndio wanajua kuwa gari alilopanda Zitto lilikuwa na vibali ambavyo sio halali?? Narudia tatizo sio gari ni wewe ulikuwa ukisakwa.
Sababu mojawapo ni ukweli uliousema kwenye kampeni kuhusu kauli za Mtukufu kama "Mwafwaa" "serikali yangu haitoi chakura(alisema chakura sio chakula" ) Nikupongeze saba Zitto Kabwe nakumbuka uliwahi sema Mwaka jana kuwa Polisiccm wasiwe wanavizia kukukamata bila ya hivyo utawatoa knockout na hawataweza. Bali watumie taratibu kamili za kukuhoji na kukuita inapobidi.
Natafakari nikiwa chini ya Mnazi Mwafwaa